SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mbona maelezo yamenyooka au uwezo wako ni kusoma vichwa vya habari tu?Nyumbani kwake wapi? Je, ni Dodoma ambako anahudhuria bunge kama KUB?
taarifa yako inakosa ukweli mwingi hata kama ni ya kweli kutiliwa shaka hakuepukiki
Umesoma vizuri hata kichwa cha habari kweli?!
Regime hii inaenda mbali sasa. Inabidi Muroto avalishwe nguo ya ccm
Wanachadema wakiongozwa na ngurumo wameanza kuvumisha taarifa za uongo kuwa amepigwa so sad,Waliokuwepo maisha club watasema ukweli,jinsi mbowe alivyosukumwa na kimada wake aliemnunua hapa [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]usitumie nguvu nyingi kupotosha ukweli
Jr[emoji769]
Natarijia MUROTO atawatafuta hao WAHUNI waliompiga MWAMBA.
Hatari sana hao wahuni wasipothibitiwa watakuja kufanya ya Lissu.
Pole sana Mh. Mbowe ....2020-2025 ni yeye Lissu
Kama Dr Mollel alisema Lissu alipigwa risasi na Mbowe huko CCM uwongo na majungu ni hulka yenu.
So SAD why did Mbowe deserve this? WHY WHY WHY. This is a WAKE UP CALL for all Tanzanians who are FED UP with this CROOK and his PUPPETS
Freedom is coming tomorrow, we will overcome this.
"KEEP TO YOUR FAITH, WITH OUR EVILS, WE WILL NEVER RECOGNIZED GOOD"
Mbona maelezo yamenyooka au uwezo wako ni kusoma vichwa vya habari tu?
Vip clouds kulazimisha habari irushwe tena ya habari yenyewe ya mchepuko, JitambueKapigwa na wahuni Kama walivyosema!!!
Sasa Magu anaweza tuma wahuni? Kupiga tu? Hebu jamani tuwe tunafikiria?
Halafu wanatoa na maneno kabisa ukome kutukana Rais? Ha ha ha ha
My brain umekataa kukubali hili.
Silaha yao.....Mmh hizi si dalili nzuri kabisa kuelekea uchaguzi mkuu... Njia zote zimeshindikana sasa hii ya kuumizana ndio silaha yao ya mwisho iliyobaki.. KUKICHWA KUTAMBAZUKA... WAKATI SI MILELE...
Jr[emoji769]