Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Acha ujinga wako, toa mifano, pia nimekuuliza, kwahio kwakua walifanya hvyo (ambayo najua ni uongo pia) na wewe ndio ufanye hivyo? Ndio akili zenu zinawatuma hivyo?Nyie hamna kumbukumbu mmejaa ujinga wakifa viongozi wa Ccm mnashangilia mmesahau hilo?
We utakuwa umeandika haya ukiwa wabakwaChadema ni wapuuzi sana baada ya issue ya corona kubuma mmeanza mchezo wenu wa kujiteka,washenzi sana nyie,mtashindwa tu
tusilete siasa kwenye kila kitu. Unapaswa kujua kuwa hali ya usalama katika mji wa Dododma ni hafifu mno, mi juzi likutana na vibaka na mapanga nyuma ya LAPF, uhindini. Watu wengi wanajeruhiwa na vibaka katikati ya mji, mwezi february kuna mama aliuawa maeneo ya Nkuhungu akienda ibada ya asubuhi kanisani: Haya ndo tunapaswa kuya zungumzia na siyo kuhusisha kila kitu na politicsMhe. Mbowe kuvamiwa na kupigwa eneo la Area D, jijini Dodoma, Mtaa wa Sengia; linalotajwa kuwa na ulinzi wa kutosha, kama ilivyotokea kwa Lissu kunaacha maswali mengi, je, hili linaweza kuwa limechochewa na Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa JMT October 2020? Ni hasira au kitu gani? No one knows.
Huna hoja msukule comment yangu ya kwanza ndio imemaliza kila kituwewe sio shetani tu, ni kibwengo na mwendawazimu kabisa, kama kweli mnajiamini si muache kutumia Polisi?
View attachment 1473187
acha bange wewe, comment au upuuzi? eti comment yangu ya kwanza, kuwa na adabu tena. Wewe ndio msukule usiyejielewa, huna hata uwezo wa kuhoji, fisi maji mkubwa wewe. Mnaishi kwa majungu na unafikiHuna hoja msukule comment yangu ya kwanza ndio imemaliza kila kitu
Matusi ya nini au Kama ilivyo sera yenu?acha bange wewe, comment au upuuzi? eti comment yangu ya kwanza, kuwa na adabu tena. Wewe ndio msukule usiyejielewa, huna hata uwezo wa kuhoji, fisi maji mkubwa wewe. Mnaishi kwa majungu na unafiki
TATIZO NI MAGUFULI NA CCM. MBONA HAYA MAMBO YAPO WAKATI WAKE? MWENYE SHIDA NDIYE HUYO HUYO MAGUFULI. MNAFIKI MKUBWA HUYO.Mfano wa mtu wa karibu?
Tusi liko wapi? sera iko wapi? Ukileta ujuaji ujue tunajua zaidi yako, ukiwa na busara basi busara itatumika not otherwise. Shukrani tuendelee na mjadalaMatusi ya nini au Kama ilivyo sera yenu?
Mkuu Elli nafikiri wewe sio msomaji wa mtandao huu wa JF au umeamua kukataa kitu ambacho kila mchangiaji wa mtandao huu anajua labda wewe tuu.Nionyeshe au nitajie popote pale mwana chadema yoyote yule aliyetukana, nipe mfano wowote ule. Ndugu Tanzania ni yetu sote, siasa za kishenzi namna hii hazijengi, tukosoane kwa heshima. Wote tuna maumivu sawa, leo hii Mbowe yuko kitandani, wewe inakusaidia nini? inakuongezea nini? Tukeindelea kushabikia huu ushenzi watoto wetu na ndugu zetu watarithi nini? Chuki? CCM, CCM, CCM MUNGU anawaona.
umenena,Kwa nn mnasema ameshambuliwa na watu wasio julikana wakati mnafahamu fika uchunguzi bado unaendelea?! Tusubiri uchunguzi wa polisi, tusiingize ushabiki wa kisiasa.
Kama ni vibaka au nani watajulikana baada ya uchunguzi
Siwezi kukataa ila si kwa kiwango cha kukera kiasi ch akuhusischa uhai na dhihakaMkuu Elli nafikiri wewe sio msomaji wa mtandao huu wa JF au umeamua kukataa kitu ambacho kila mchangiaji wa mtandao huu anajua labda wewe tuu.
Ukitaka kuona matusi, maneno ya karaha, dhihaka, manyayaso hata kukufuru angalia michango ya uzi wowote ule ambao Chadema wanauona ni hasi kwao.
Naweza kuleta komenti zaidi ya 200 wacha moja ambazo zitathibitisha haya.
Kuna mabadilika ambayo nayaona yanakuja kidigo kidogo ambayo wachangiaji wa mrengo wa Chadema na CCM wanaelekea kutoshana nguvu.
Alikuwa kwa mama yako.Saa sita usiku mbowe alikua wapi na Kwann alisimamisha gar?
Nilichotaka kukujibu nimeacha, ngioja nikae kimya niizuie hasiraUmejuaje kama mbowe sio jambazi?? Alafu unalazimisha watu kumuonea huruma?
Kuna siku zimepita kidogo, nilipatwa na ghathabu na sikuchangia kwa adabu, Yaliyotokea nilisikia aibu sana. Mchangiaji mmoja aka nikanya kwa kuniambia wazi Mzee wa Mmbaga hapa unapitiliza na napeleka salamu hizi Mvaa. Nakajua anafahamu anapotoka Baba yangu na mama yangu. NILISIKIA AIBU SANA. Ni kujitafakari yuu.Siwezi kukataa ila si kwa kiwango cha kukera kiasi ch akuhusischa uhai na dhihaka