Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Hivi huu utamaduni wa kila likitokea tukio kama hili la mwamba hawa chadema wanainyooshea kidole serikali(ccm).Wanataka kutuambia kwamba wao hawawezi kufanya unyama kama huo? kwanini wanataka kwa haraka tuamini ni serikali na sio wao au wababe wengine au hata ajali
 
Movie tu hii na imesha feli. Haitauza wala nini
 
Mbowe atangazwe mlevi wa karne Hadi anabebwa na ambulance aisee Kuna watu wanalewa
 
Pole Mbowe tujifunze kuwahi kurudi nyumbani
Madikteta wote duniani mwisho wao huwa ni mbaya sana, vifo vyao huwa ni vya hovyo hovyo tu. Kejeli na dhihaka zina mwisho wake. Mwenyekiti wetu wa CCM ajifunze kwa Marehemu dikteta mwenzie NKURUNZINZA.
 
SAA SABA YA USIKU NAE NA UMRI ULE KATOKEA WAPI JAMAN DODOMA KUNA MAAJABU MENGI DOH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…