Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Mimi sio kiongozi
Wewe huwa saa9 alasiri unakuwa usharudi nyumbani, au siyo baharia...!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huwa saa9 alasiri unakuwa usharudi nyumbani, au siyo baharia...!?
Mimi sio kiongozi
Pole Mbowe tujifunze kuwahi kurudi nyumbani
Sasa nimeshakuelewa,ujue hata Simba na yanga haziombeani mabaya na wanashirikiana kwenye majangaPole Mbowe tujifunze kuwahi kurudi nyumbani
Nimeandika nimefuta. Nisamehe Mola wangu, na niepushe na wapumbavu kama hawa wasiniingize dhambiniPole Mbowe tujifunze kuwahi kurudi nyumbani
Nimeandika nimefuta. Nisamehe Mola wangu, na niepushe na wapumbavu kama hawa wasiniingize dhambini
Na tupunguze unywaji mwingi wa pombe kaliPole Mbowe tujifunze kuwahi kurudi nyumbani
Yaani hata nashindwa kushangaaDj ni Dj tu,kiongozi mkubwa unalewa bar mpaka saa 9 za usiku ukiwa na wake za watu
Na tupunguze unywaji mwingi wa pombe kali
Madikteta wote duniani mwisho wao huwa ni mbaya sana, vifo vyao huwa ni vya hovyo hovyo tu. Kejeli na dhihaka zina mwisho wake. Mwenyekiti wetu wa CCM ajifunze kwa Marehemu dikteta mwenzie NKURUNZINZA.Pole Mbowe tujifunze kuwahi kurudi nyumbani
Dj ni Dj tu,kiongozi mkubwa unalewa bar mpaka saa 9 za usiku ukiwa na wake za watu
Pole Mbowe tujifunze kuwahi kurudi nyumbani