Utakuwa hujielewi, hakuna chama chenye vijana wahuni wanaojifanya wajuaji kama CCM. Haiingii akilini Mbowe kupigwa na wengine nje ya vijana wahuni wa CCM ambao wanadhani kwa kufanya hivyo eti ni wazalendo.Kapigwa na wahuni Kama walivyosema!!!
Sasa Magu anaweza tuma wahuni? Kupiga tu? Hebu jamani tuwe tunafikiria?
Halafu wanatoa na maneno kabisa ukome kutukana Rais? Ha ha ha ha
My brain umekataa kukubali hili.
It is coming, have faith.Hivi hiyo tommorow haijafika tu?
Pole sana mh Mbowe, lakini mzee Mbowe bado unatembea bila ulinzi wowote? Seriously?. Vitendo hivi vinachafua sana taswira yetu na mbaya zaidi kuelekea uchaguzi mkuu.
Sasa umeongeza kuwa ni "green guards"... tuwe waangalifu... tusije kushindwa kupata ukweli kwa sababu mawazo yetu tayari yameanza kuelekezwa sehemu fulani..Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Mhe.@freemanmbowetz ameshambuliwa na kujeruhiwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni greenguard (wasiojulikana) wakati akirejea nyumbani kwake jijijini Dodoma. Amekimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu. Tutawapatia taarifa zaidi baadae.
Anayefikiri JPM anaweza kubariki huu ujinga ni kichaa na mgonjwa wa ushabiki wa kisiasa. Mimi naamini kuna mambo ya ajabu yanaendelea kwenye siasa zetu ambayo hayawekwi wazi.Kapigwa na wahuni Kama walivyosema!!!
Sasa Magu anaweza tuma wahuni? Kupiga tu? Hebu jamani tuwe tunafikiria?
Halafu wanatoa na maneno kabisa ukome kutukana Rais? Ha ha ha ha
My brain umekataa kukubali hili.
Inawezekana ame copy na ku paste ujumbe na sababu ya usingizi hakuedit kuweka maelezo.
Ndio tabu sasa, ngoja tupate maelezo ya kina tuunganishe dot vizuri.Sasa umeongeza kuwa ni "green guards"... tuwe waangalifu... tusije kushindwa kupata ukweli kwa sababu mawazo yetu tayari yameanza kuelekezwa sehemu fulani..
Anayefikiri JPM anaweza kubariki huu ujinga ni kichaa na mgonjwa wa ushabiki wa kisiasa. Mimi naamini kuna mambo ya ajabu yanaendelea kwenye siasa zetu ambayo hayawekwi wazi.
Mh Philip Mangula amepewa sumu na tunaofatilia siasa muda mrefu tunajua misimamo yake iliyofanya adhalilishwe miaka ya nyuma kabla hajarudi tena awamu hii. Kuna mapito ya kisiasa tunapitia ambayo misuguano huko ndani inawezekana ni mizito mno na cheche zake ndio kama hizi.