Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

We dingi ebu fafanua hii kauli
 
Hivi ameshambuliwaje?

Kwenye mazingira gani?

Walinzi au mabodigadi wake wakiwa wapi?
 
Nilikuwa natafuta kauli yako mkuu. Hujawahi kuniangusha. Big up.
Nimeshangaa, kwa hali ya Mbowe apigwe makofi, how comes?
 
jingalao,
Ndigu kuwa serious. Naona sasa unapitiliza mipaka. Hata kama ni siasa hii imepitiliza. Uungwana na busara ni kitu kizuri sana. Hebu jaribu kuvaa viatu VYA huyo aliyefanyiwa kitendo hiko. Tafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…