Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Yeah! Serikali ya KIDHALIMU ambayo imeshindwa kuchunguza kifo cha Mawazo, kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda na wengine chungu nzima pia shambulizi la lissu. Serikali ambayo ilihusika katika kuzuia malipo ya matibabu kwa lissu na pia kuhusika kumpora Ubunge wake.
 
Yametokea mwa mbunge gani wa CCM? Watanzania sio wajinga
 
Tulipofikia Tanzania hatuna tofauti na Rwanda!! Usalama hasa wa wanasiasa wa Upinzani upo shakani.. kuna mtu hataki kusikia akikosolewa!! Yeye yupo sahihi daima.
Mmmh
 
Hivi Hana wasaidizi wake mpaka apigwe ngwara na kugaragazwa na vibaka?

Waliofanya kitendo hicho walaaniwe, kinakiuka utu na siyo sawa!
 
Sasa hapo mguu tu utafikili mgonjwa mahututi,ila huyu mzee dah
 
Mwenyekiti wa Chama Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. @freemanmbowetz (Mb), amepokelewa muda mfupi uliopita Kitengo cha Dharura, Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya uchunguzi wa matibabu zaidi. @makene_tumaini https://t.co/y22rBS4oD8
 
Back
Top Bottom