Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiki ya ufipani Imebuma
Hata kama ni Kilaza wa aina Gani
Ushindwe kuelewa hili tukio wameli ongezea mwendo ili Waungie Story
Hali ni tete ufipani
Na bado
Kiki imebuma
Narudia imebuma
Awamu hii Chadema Hali ni tete
Mtu anakunywa pombe na kuanguka
Mnaona mtaji wakisiasa
Madikteta wote duniani mwisho wao huwa ni mbaya sana, vifo vyao huwa ni vya hovyo hovyo tu. Kejeli na dhihaka zina mwisho wake. Mwenyekiti wetu wa CCM ajifunze kwa Marehemu dikteta mwenzie NKURUNZINZA.
Naitwa MOTOCHINI
Hii ni Jf
Kaka weka ujuavyo
Hahaha
Kiki imebuma Ufipani hali tete
WAHISHA HIYO PICHA NDUGU[emoji23]
Kwamba wewe Mrundi
Hayo Yaburundi na ya Kunywa pombe na kuanguka
Kisha Kiki kuundwa yanahusikaje
NASUBIRIA PICHA
Lete picha
Unae lala na V8 Chumbani
Kumbuka hii ni JF
Kilaza ww
Kiki Tumeshtuka no
Hahahaha
Muha!!
Kweli Umerogwa
Lete picha mbumbumbu
Maneno Mengi vitendo Zero
Picha ipo wapi
Hao wasio wa kawaida ni wachache, watadhibitiwa mapewa sana.
Bwana mkubwa anajua kuwaziba midomo wale wote walio hatarishi kwenye utawala wake.
Wastaafu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama wamehakikishiwa mirija ya pesa isiyo na kikomo , unategemea watakuja kuukata mkono unaowalisha ?
Kwa tanzania hatutafikia hukoKwenye nchi yeyete makamanda wakongwe ni pro state .....tatizo huwa ni hawa vijana ...na wapo ambao wako mitaani tu , ndio maana mpango ulikuwa kuhakikisha wote wanakuwa baracks , for security reason .....hawa huku mitaani wanajazwa upepo wa ugumu wa maisha na wananchi wa kawaida ....ndio maana Kikwete na Mkapa waliweka mpango maalum wa kuwajengea makazi wote warudi baracks .....Mkapa alijenga kama nyumba 10,000 Kikwete nyumba 20,000 ...zinahitajika nyingine 20,000
Makamanda wanatakiwa kuwa na control na kila kitu ikiwemo watu wanaokutana na vijana 24/7 ...kukosekana kwa nyumba za kutosha kunafanya wawe na access of control at 10/24 .
Lakini tatizo lingine ni makamanda wa kati ambao wanaishi maisha magumu huko mitaani baada ya kustaafu ....namna pekee ya kuwadhibiti watu kama hawa ni kuwa na mfumo rasmi na huru ...ili wakianza kuinua mdomo tu unawaona .....lakini kama kila kitu unabana watawapa solutions watu wanaominywa ambao wao wanaamini wanawasemea ...
Dr. Mashinji kaandika maneno haya twita.
"Kuteleza na kuanguka ni kitu cha kawaida kutokea duniani. Si kuvunjika tu wengine hata wamepoteza maisha.
Tujitahidi kuwa makini tunapopanda ngazi hata kama ni mbili tu!"- Dr. Vincent Mashinji.
View attachment 1474121
Mnamhamishia bure tuhuma Dr Mashinji wakati ametoa "comment" kama mtaalamu wa afya.Bila kufaulu mtihani wa kumdhihaki na kumzalilisha Mbowe,hawawezi pata uteuzi.
Kujiuzulu CHADEMA huwa ni kufaulu/kutengeneza coursework tu, ila kuishambulia CHADEMA na hasa Mbowe, huwa ndio kufaulu final examination(UE) ambayo ina asilimia kubwa ya marks zote almost 60%.
Mashinji kaanza UE hivyo msimshangae akimaliza paper yake hii vizuri na kufaulu,basi mwalimu wake, Dr. ...... (jina linahifadhiwa) atampatia uteuzi kulingana na ufaulu wake.
UNASEMA???? HEBU RUDIA SIJASIKIA VZR ETI UNASEMA ???????Mhe. Mbowe kuvamiwa na kupigwa eneo la Area D, jijini Dodoma,