Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Inabidi ujitoe ufahamu kumtetea mlevi kama DJ kuanguka na kuvunjika mguu, then kusingizia kuvamiwa? Ufipa semeni yule aliyekimbia ni nani? Au ni Joyce Mukya
 
Badala ya kumkemea Mwamba kwa kupiga Faru John, mnaanza kuwashambulia wanaokemea matendo maovu ya mlevi! Acheni kujitoa ufahamu.
 
Watu ni wapumbavu sana jamaa alibebwa na kupewa ukatibu hata ajulikani.

Akawa analipwa mil 7 kwa mwezi na kupewa nyumba na mbowe akakusanya pesa za chama mpaka akajenga halafu anakuja kumdharirisha Mbowe kweli binadamu hatuna shukurani.

Bora hata Dr Slaa alikuwa anakibeba chama lakini alipondoka watu walimsahau na wala hajawai kumdharirisha Mbowe uwa anaongea mapungufu ya chadema kama taasisi.

Vijana tujifunze kuweka Akiba ya maneno bado tuna kesho hawa wakina Magufuli, Ndungai watapita kama Sitta na Kikwete sisi bado tupo sana.

Mbowe ana mapungufu yake ila tusimshambulie as a person, Chadema ni taasisi tujadili mapungufu ya taasisi sio mtu siasa majitaka hazitatupeleka popote.
 
Kiki ya ufipani Imebuma
Hata kama ni Kilaza wa aina Gani
Ushindwe kuelewa hili tukio wameli ongezea mwendo ili Waungie Story
Hali ni tete ufipani
Na bado

Wewe yale mapanga uliyopigwa kichwani wakati unaibiwa pikipiki yalifanya dishi lako likayumba mpaka leo.

Fanya Ukipona ndio urudi jamvini.
 
Hii kitu haijawahi kumuacha mtu salama
IMG-20200609-WA0015.jpg
 
Mpuuzi tu. Tulipokuwa tunahoji huyu viatu vya Slaa vinamtoshaje nyie mliomshambulia leo mlikuwa mnatutusi. Sasa tofauti ya huyu na wale vijana wa buku 7 ni nini? Kweli kusoma sana uoga wa jembe tu na sio akili.
 
Kiki imebuma
Narudia imebuma
Awamu hii Chadema Hali ni tete
Mtu anakunywa pombe na kuanguka
Mnaona mtaji wakisiasa

Niweke picha yako ukiwa umepigwa lile panga la kichwa na pikipiki yako unayolala nayo sebuleni ili tuone kama kweli pale kichwani panga lilipiga au ilikua ni kiki?
 
Madikteta wote duniani mwisho wao huwa ni mbaya sana, vifo vyao huwa ni vya hovyo hovyo tu. Kejeli na dhihaka zina mwisho wake. Mwenyekiti wetu wa CCM ajifunze kwa Marehemu dikteta mwenzie NKURUNZINZA.

Sawa kabisa mkuu,huu uchaguzi wa juzi wa Burundi Kuna mfanyabiashara hapo Burundi walikuja vijana wa chama tawala wakamkamata dukani kwake then wakaenda kumpiga Mapanga hadi akafa.

Nkurunziza na serikali yake wakasema huyo mfanyabiashara amekufa kwa Covid-19 wkt mwili wake mzima una majeraha ya mapanga.

Hatimae dikteta Pierre yeye Covid imemchukua kiukweki ukweli.
 
Naitwa MOTOCHINI
Hii ni Jf
Kaka weka ujuavyo
Hahaha
Kiki imebuma Ufipani hali tete
WAHISHA HIYO PICHA NDUGU[emoji23]

Yaani unavyoitetea CCM utadhani unapandaga kwny V8 na wakina polepole na kukunja per diem kumbe unalala na pikipiki sebuleni hahahah,dunia mazuzu hawaishi aisee.
 
Kwamba wewe Mrundi
Hayo Yaburundi na ya Kunywa pombe na kuanguka
Kisha Kiki kuundwa yanahusikaje
NASUBIRIA PICHA

Hahahah umeona dikteta wenu(jirani na kigoma hapo) Nyie waha a.k.a warundi wa zamani si mna ka undugu flani hivi amaizing.

huoni aibu kulala na pikipiki sebuleni?hahahahahahh
 
Lete picha
Unae lala na V8 Chumbani
Kumbuka hii ni JF
Kilaza ww
Kiki Tumeshtuka no

Hahahah noma sana kutaja taja ma stiglers gorge huku unalala na toyo sebuleni?hahah

Mamamame jamaa walipiga panga la kichwa mpaka dishi likayumba,teh teh teh
 
Hahahaha
Muha!!
Kweli Umerogwa
Lete picha mbumbumbu

Hahah huku umebinua kishundu huku ukilia lia eti ndg zangu wana JF jana nimeibiwa toyo yangu nilikua nimelala nayo sebuleni,angalieni kichwani hapa panga lilipotua,m.

maaanina kwa lile panga lazima ulikunya pale.
 
Hao wasio wa kawaida ni wachache, watadhibitiwa mapewa sana.

Bwana mkubwa anajua kuwaziba midomo wale wote walio hatarishi kwenye utawala wake.

Wastaafu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama wamehakikishiwa mirija ya pesa isiyo na kikomo , unategemea watakuja kuukata mkono unaowalisha ?

Kwenye nchi yeyete makamanda wakongwe ni pro state .....tatizo huwa ni hawa vijana ...na wapo ambao wako mitaani tu , ndio maana mpango ulikuwa kuhakikisha wote wanakuwa baracks , for security reason .....hawa huku mitaani wanajazwa upepo wa ugumu wa maisha na wananchi wa kawaida ....ndio maana Kikwete na Mkapa waliweka mpango maalum wa kuwajengea makazi wote warudi baracks .....Mkapa alijenga kama nyumba 10,000 Kikwete nyumba 20,000 ...zinahitajika nyingine 20,000.

Makamanda wanatakiwa kuwa na control na kila kitu ikiwemo watu wanaokutana na vijana 24/7 ...kukosekana kwa nyumba za kutosha kunafanya wawe na access of control at 10/24 .

Lakini tatizo lingine ni makamanda wa kati ambao wanaishi maisha magumu huko mitaani baada ya kustaafu ....namna pekee ya kuwadhibiti watu kama hawa ni kuwa na mfumo rasmi na huru ...ili wakianza kuinua mdomo tu unawaona .....lakini kama kila kitu unabana watawapa solutions watu wanaominywa ambao wao wanaamini wanawasemea ...
 
Kwenye nchi yeyete makamanda wakongwe ni pro state .....tatizo huwa ni hawa vijana ...na wapo ambao wako mitaani tu , ndio maana mpango ulikuwa kuhakikisha wote wanakuwa baracks , for security reason .....hawa huku mitaani wanajazwa upepo wa ugumu wa maisha na wananchi wa kawaida ....ndio maana Kikwete na Mkapa waliweka mpango maalum wa kuwajengea makazi wote warudi baracks .....Mkapa alijenga kama nyumba 10,000 Kikwete nyumba 20,000 ...zinahitajika nyingine 20,000
Makamanda wanatakiwa kuwa na control na kila kitu ikiwemo watu wanaokutana na vijana 24/7 ...kukosekana kwa nyumba za kutosha kunafanya wawe na access of control at 10/24 .
Lakini tatizo lingine ni makamanda wa kati ambao wanaishi maisha magumu huko mitaani baada ya kustaafu ....namna pekee ya kuwadhibiti watu kama hawa ni kuwa na mfumo rasmi na huru ...ili wakianza kuinua mdomo tu unawaona .....lakini kama kila kitu unabana watawapa solutions watu wanaominywa ambao wao wanaamini wanawasemea ...
Kwa tanzania hatutafikia huko
 
Dr. Mashinji kaandika maneno haya twita.

"Kuteleza na kuanguka ni kitu cha kawaida kutokea duniani. Si kuvunjika tu wengine hata wamepoteza maisha.

Tujitahidi kuwa makini tunapopanda ngazi hata kama ni mbili tu!"- Dr. Vincent Mashinji.

View attachment 1474121
Bila kufaulu mtihani wa kumdhihaki na kumzalilisha Mbowe,hawawezi pata uteuzi.

Kujiuzulu CHADEMA huwa ni kufaulu/kutengeneza coursework tu, ila kuishambulia CHADEMA na hasa Mbowe, huwa ndio kufaulu final examination(UE) ambayo ina asilimia kubwa ya marks zote almost 60%.

Mashinji kaanza UE hivyo msimshangae akimaliza paper yake hii vizuri na kufaulu,basi mwalimu wake, Dr. ...... (jina linahifadhiwa) atampatia uteuzi kulingana na ufaulu wake.
Mnamhamishia bure tuhuma Dr Mashinji wakati ametoa "comment" kama mtaalamu wa afya.

Iwapo kweli ameshambuliwa na kuvunjwa mguu, bila shaka atakuwa na jeraha kubwa tu tofauti na kuvunjika kwa kuanguka.
 
Spika Ndugai amekosea kujifanya mjuaji na kuropoka jambo asilolijua. Hata kama anamchukia Mbowe kwa sababu anazozijua yeye, siyo haki kusema jambo asilo na uhakika nalo. Anasema ni kuwa mguu wake umekuwa DISLOCATED na kwamba hajaumia kwingine, Akisapotiwa na wabunge waliouzika kwa vipande 30 ameonyesha udhaifu mkubwa.

Hivi Ndugai huoni aibu kuongelea ugonjwa wa mtu bungeni tena kwa kejeli? Mbona ugonjwa wako wewe Ndugai hauongelewi au haukuongelewa bungeni pamoja na ubadhirifu mkubwa wa Mabilioni ya shilingi kutibu ugonjwa wako usiojulikana?

It is shame on you Ndugai...Eti unasema kona kona nyingi? Hivi kwani ni kosa kurudi nyumbani kwako saa sita za usiku? Mbowe amevunja sheria gani kurudi kwake usiku? Mbona wewe Ndugai na wabunge walionunuliwa mnasambaza uongo kuwa Mbowe hakupigwa wakati yeye mwenyewe na aliyekuwa naye wanasema alipigwa na maneno ya KISIASA yalisemwa? Ndugai wewe na wajinga wenzako ONENI HAYA! Mbona mnatumia nguvu nyingi kupinga kuhusu haya masahibu aliyopata mbunge Mbowe? Kuna nini mnaendelea kuficha?

Ndugai umeonyesha udhaifu mkubwa, hutumi akili hata kidogo....HAUNA TOFAUTI NA VIBAKA WA MITAANI, uone aibu, Inaonekana uwepo wa makanisa Tanzania hausaidii hata kidogo, wametokeza watu wa serikalini kama Ndugai na Magufuli wasiojali maisha ya wananchi...Kwao kuua na kuteka ni jambo la kawaida sana.

Hili la Lissu na Mbowe ni aibu kwa serikali.
 
Back
Top Bottom