Dodoma: NEMC yazifungia Rainbow na Chako ni Chako kwa kupiga kelele

Dodoma: NEMC yazifungia Rainbow na Chako ni Chako kwa kupiga kelele

Chako ni chako ukiachana na uchomaji mzuri wa kuku hakuna kingine unaweza kupata.

Kiwanja cha kula maisha kwasasa hapo Dom ni Bambalaga pamoja na labda kiwanja cha Mswano.
Otherwise zile huduma nyingine siku hizi ni Oncall 🙌🏃🏃🏃🏃

Dominica Njema kwako pia
 
Back
Top Bottom