Eneo gani sio la bonde la ufa Tanzania hiiDodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu.
Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo Hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka
Nishauri na mimi maana nimenunua kiwanja CHATO.Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu.
Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo Hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka
Huko jikinge na wachawi, wengi mno, Kila nyumba Ina wawili watatu, watakuua au utakufa masikini, kama watoto Wana akili darasani, wanaiba akili au wanaziroga, mtoto anakuwa zezeta.Nishauri na mimi maana nimenunua kiwanja CHATO.
Upo sahihi Chiembe. Eneo la Dodoma lipo kwenye rift valley, maana yake lipo kwenye deep rooted structure. Kunapokuwa na movements za magma kwenye mantle, waves zilizokuwa generated, kwenye hizi deep rooted structures zinapenya na kuja kwenye uso wa Dunia zikisababisha maafa makubwa.Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu.
Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo Hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka
Wewe ni civil engineer?! Chawa hapaswi kutoa ushauri wa kitaalamu. Watch outDodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu.
Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo Hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka
Hilo tuliisha zingatia ndo maana haitotokea dodoma kujenga jengo la ghorofa zaidi ya 15Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu.
Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo Hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka
Yapo mengi. Tuna mikondo miwili tu ya bonde la ufa. Moja ni huo unaopitia Dodoma. Na mwingine ni ule wa upande wa Magharibi mwa Tanzania unaopitia Ziwa Tanganyika hadi Nyasa.Eneo gani sio la bonde la ufa Tanzania hii
USSR
Kamanda uchwara, buku 7 FCMimi ni kamanda, ufipa moja
Kati ya Dodoma na Mbeya wapi ni njia ya Matetemeko?Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu.
Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo Hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka
Ukiacha Pwani sehemu gani sio rift valley Tanzania hii?Upo sahihi Chiembe. Eneo la Dodoma lipo kwenye rift valley, maana yake lipo kwenye deep rooted structure. Kunapokuwa na movements za magma kwenye mantle, waves zilizokuwa generated, kwenye hizi deep rooted structures zinapenya na kuja kwenye uso wa Dunia zikisababisha maafa makubwa.
Maeneo ambayo ni earthquake prone hayatakiwi kuwa na majengo marefu wala kuwa na majengo yanayokaribiana sana kiasi kwamba hata ukikimbilia nje, hakuna mahali panapokuwa salama kwako.
Mwongozo wa awali wa CDA, Dodoma haikutakiwi kuwa na majengo marefu yanayozidi ghorofa 3. Kama wataalam mbalimbali wangeshirikishwa katika kuamua wapi kuwe mji mkuu, hiyo ya kuwa kwenye rift valley, ungeiondoa Dodoma.
Cha ajabu, Waziri Mkuu amewekwa katikati ya majabali ya mawe. Kukitokea tetemeko, hayo mawe yanageuka kuwa mabomu.

Mkuu nchi wanasiasa ni kila kitu, waheshimiwa ni wao, wataalamu ni wao, wabobezi na wajuvi wa mambo ni wao. Kwa hiyo tahadhari za kitaalamu nje ya "domain" yao, wanaona ni kama upuuzi.Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu.
Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo Hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka
Khaaaaaa mahabali sio madigo makubwa atar sasa Hawa walio plan kua mji mkuu walikua hawatazamii yaliyo ya baadae?😂😂Upo sahihi Chiembe. Eneo la Dodoma lipo kwenye rift valley, maana yake lipo kwenye deep rooted structure. Kunapokuwa na movements za magma kwenye mantle, waves zilizokuwa generated, kwenye hizi deep rooted structures zinapenya na kuja kwenye uso wa Dunia zikisababisha maafa makubwa.