Dr Ahmed Albah-Shahwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 848
- 1,604
Kweli kabisa jana na juzi yamepita matetemeko mara mbili kwa mtiririko huo. Kuna uwezekano wanaokufa kwenye matetemeko huwa wanapigwa butwaa manake yalivyotokea badala yakutoka nje nikawa nalisikilizia.