Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Sio wote japo wapo wengi tu wana tabia ya kujiuza ili kupata hisa au rejesho.Wanawake wanocheza vicoba wanapigwa pumbu sana ili kuipata hiyo pesa ya vicoba, ndo kama nyinyi mnaokuja na sababu kama hizi
Okay hapo nimekuelewa sio mtu anakaa kuponda tu huku haoni madhara yanayotokana na Vicoba maana Vicoba ni Janga la TaifaAmemaanisha kuwa unakuta mke hapati mahitaji basic anaona vicoba vinamsaidia, sio kila kitu ni 50/50.
Pia nakubaliana na hoja kuwa vicoba vinaharibu mahusiano hasa ndoa.
Utapiga marufuku vitu vingapi?.ufumbuzi wa vitendo viovu kwenye jamii sio kupiga marufuku bali kutafuta ufumbuzi wahizo changamoto.Kupiga marufuku nikukosa maarifa.Serikali iingilie kati hivi VICOBA vipigwe marukufu this is too much now watu wataendelea kufa tu
Sawa sasa hawa wanauliwa na wengine wanaamua kujiua kabisa sababu ni niniSio wote japo wapo wengi tu wana tabia ya kujiuza ili kupata hisa au rejesho.
Kama ambavyo kuna faida hasara pia hazikosekani.
Ila wapo ambao vicoba vimewabeba sana sana nikiwemo mimi hapa.
Tena kicoba cha halali kabisaa
Ufumbuzi utoke wapi mkuu piga marufuku basi na mchezo uishie hapo tumechoka vifo vinavyotokana na Vicoba sasa imetoshaUtapiga marufuku vitu vingapi?.ufumbuzi wa vitendo viovu kwenye jamii sio kupiga marufuku bali kutafuta ufumbuzi wahizo changamoto.Kupiga marufuku nikukosa maarifa.
Kwanini iwekwe sheria? Kwaajili ya kulinda nini? Vicoba ni kitu halali kuna ambao vinawasaidia sana.Okay hapo nimekuelewa sio mtu anakaa kuponda tu huku haoni madhara yanayotokana na Vicoba maana Vicoba ni Janga la Taifa...
Wanawake wamejitumbukiza kwenye kusaka pesa hata zaidi ya wanaume. Utadhani wanalala njaa!!!Serikali iingilie kati hivi VICOBA vipigwe marukufu this is too much now watu wataendelea kufa tu
Sasa km halali kwanini watu wanajiua na wengine wanauana kisa Vicoba huoni km ni tatizo hilo au kwako ni sawa watu wafe tu tutawazika?Kwanini iwekwe sheria? Kwaajili ya kulinda nini? Vicoba ni kitu halali kuna ambao vinawasaidia sana.
Kila kitu kina madhara na faida
Sababu za kujiua na kuuana zipo nyingi.Sasa km halali kwanini watu wanajiua na wengine wanauana kisa Vicoba huoni km ni tatizo hilo au kwako ni sawa watu wafe tu tutawazika?
Weka sheria marufuku kucheza mchezo wa Vicoba baasi watu wapunguze kufa kwa kitu ambaacho sio kabisa yaan mchezo wa pesa ndio ukusababishie kifo kweli mbon sijasikia wanaocheza kamari kwa mhindi mtu amekufa au ameua kwa kuliwa pesa zake?Sababu za kujiua na kuuana zipo nyingi.
Kuna wengine wanauana kwa wivu wa mapenzi..tuweke sheria gani hapo?
Kwani kabla ya kuolewa huwezi pima uwezo wa mwanaume wa kukutunzaMwanaume anakuoa hakuna cha nguo wala mafuta ya kupaka... sana sana ukimpata ambaye kidoooooogo mwenye afadhali atakulipia ada tu za watoto na chakula cha home mengine utajiju. Sasa huyu mwanamke jobless na mwenye mahitaji yake muhimu ataishije bila vikundi vya kujiwekea akiba na kukopa?????
Nyinyi kina nani? Mimi hata sijui kicoba ni kitu gani na sijawahi kuwa interested ingawa kuna watu wanasema inawasaidia.Weka sheria marufuku kucheza mchezo wa Vicoba baasi watu wapunguze kufa kwa kitu ambaacho sio kabisa yaan mchezo wa pesa ndio ukusababishie kifo kweli mbon sijasikia wanaocheza kamari kwa mhindi mtu amekufa au ameua kwa kuliwa pesa zake?
Nyinyi mna nini aisee au huu mchezo una nini ndani?
Kumpa anachokifuata hivi unayajua mateso ya Vicoba wewe umesema hujui kuhusu Vicoba ndio maana ila hii michezo ina kero ila wanaume hatupendi tu kuusema ukweli mwisho wa siku ndio unakuta yanakukuta km yaliyomkuta Jamaa hii michezo ya Vicoba ni chanzo kingine cha umalaya katika Familia zilizo nyingi mwanamke anaona auze ili akalipe Vicoba so what this and what is this? The meaning is very unpleasant and unpredictable kwanin iwe hivi lakiniNyinyi kina nani? Mimi hata sijui kicoba ni kitu gani na sijawahi kuwa interested ingawa kuna watu wanasema inawasaidia.
Sasa wivu wako wa kimapenzi kwa mke wako kusifanye na wengine wakose kitu Chenye manufaa kwao.
Ni jukumu lako kumwambia mkeo nini unataka na nini hutaki, ukiona haendani na matakwa yako basi fuata ustaarabu mwingine. Au mpe kile ambacho anakifata huko ili atulie.
Ukinisoma tangu mwanzo utagundua sifagilii vicoba, kwanza hiyo pesa ya marejesho naipata wapi sitaki stress.Kumpa anachokifuata hivi unayajua mateso ya Vicoba wewe umesema hujui kuhusu Vicoba ndio maana ila hii michezo ina kero ila wanaume hatupendi tu kuusema ukweli mwisho wa siku ndio unakuta yanakukuta km yaliyomkuta Jamaa hii michezo ya Vicoba ni chanzo kingine cha umalaya katika Familia zilizo nyingi mwanamke anaona auze ili akalipe Vicoba so what this and what is this? The meaning is very unpleasant and unpredictable kwanin iwe hivi lakini
Piga marufuku huu mchezo utapukutisha watu huu mchezo oooooho
Ukimwambia aache hatakiiii mkuu hataki kabisa kusikia sasa ndio maana nasema Government iunde sheria huu mchezo upigwe marufuku baasi maana wanawake wengine vichwa ngumu wabiiiiishi unamkataza hasikiiiiiUkinisoma tangu mwanzo utagundua sifagilii vicoba, kwanza hiyo pesa ya marejesho naipata wapi sitaki stress.
Ukiona anaenda vicoba means amehisi kuna pesa huko.
Mpe mahitqji ili atulie. Asipotulia huyo sio wako au sio level yako...
"Muishi na wake zenu kwa akili"Duh mume anaacha ela ya nyama anakuta mchicha, sababu unaambiwa hakua na hela ya mchezo! Tho haijustify kuondoa uhai wa mtu ila kiufupi hali ya maisha mtaani ni mbaya sana ... counseling inahitajika watu waweze kucoup na hii hali.
π π π serikali ipo busy na kukusanya tozo, tena ikupe suluhisho la mahusiano yako? You are not seriousUkimwambia aache hatakiiii mkuu hataki kabisa kusikia sasa ndio maana nasema Government iunde sheria huu mchezo upigwe marufuku baasi maana wanawake wengine vichwa ngumu wabiiiiishi unamkataza hasikiiiii