Dodoma: Peter Mwakiposile amuua mkewe kisa Kikoba

Nilifuatilia sana izi ishu kwa utafiti wangu mi sielewi mifumo ya vikoba ila naona ishu inaleta majanga sana katika ndoa ...kipindi niko primary tulikuwa na mchezo wa kutoka mtu kila wiki tulikuwa tunaita 'KIBATI" sasa sijajua ni sawa na huu au?
 
Wanawake wanocheza vicoba wanapigwa pumbu sana ili kuipata hiyo pesa ya vicoba, ndo kama nyinyi mnaokuja na sababu kama hizi
Sio wote japo wapo wengi tu wana tabia ya kujiuza ili kupata hisa au rejesho.

Kama ambavyo kuna faida hasara pia hazikosekani.

Ila wapo ambao vicoba vimewabeba sana sana nikiwemo mimi hapa.

Tena kicoba cha halali kabisaa
 
Amemaanisha kuwa unakuta mke hapati mahitaji basic anaona vicoba vinamsaidia, sio kila kitu ni 50/50.
Pia nakubaliana na hoja kuwa vicoba vinaharibu mahusiano hasa ndoa.
Okay hapo nimekuelewa sio mtu anakaa kuponda tu huku haoni madhara yanayotokana na Vicoba maana Vicoba ni Janga la Taifa

Kuna list ndefu inaenda kukata Moto hazitapita wiki mbili utasikia mwingine kapigwa na nyundo kichwan kisa Vicoba km Government haitoingilia kati na kupiga marufuku huu mchezo baasi kitakachofuata tutaelewa vizuri

Iwekwe sheria ukikamatwa unacheza Vicoba iwe km umekamatwa na gongo au bhangi au umekamatwa na nyara za serikali full stop
 
Serikali iingilie kati hivi VICOBA vipigwe marukufu this is too much now watu wataendelea kufa tu
Utapiga marufuku vitu vingapi?.ufumbuzi wa vitendo viovu kwenye jamii sio kupiga marufuku bali kutafuta ufumbuzi wahizo changamoto.Kupiga marufuku nikukosa maarifa.
 
Sio wote japo wapo wengi tu wana tabia ya kujiuza ili kupata hisa au rejesho.
Kama ambavyo kuna faida hasara pia hazikosekani.
Ila wapo ambao vicoba vimewabeba sana sana nikiwemo mimi hapa.
Tena kicoba cha halali kabisaa
Sawa sasa hawa wanauliwa na wengine wanaamua kujiua kabisa sababu ni nini

Nakwambia Mimi nimenuniwa kisa hio michezo yenu ya kipuuzi leo siku ya pili kisa Vicoba kila siku Vicoba kila siku Vicoba mnanufaika na nini na nasikia usipopeleka unapigwa faini hapo kichwa kinaanza kuwaka Moto kwa kuzitoa hela huna mwisho unaamua uuze uchi wako upate pesa za Vicoba

Mna Akili kweli nyinyi?
 
Utapiga marufuku vitu vingapi?.ufumbuzi wa vitendo viovu kwenye jamii sio kupiga marufuku bali kutafuta ufumbuzi wahizo changamoto.Kupiga marufuku nikukosa maarifa.
Ufumbuzi utoke wapi mkuu piga marufuku basi na mchezo uishie hapo tumechoka vifo vinavyotokana na Vicoba sasa imetosha
 
Okay hapo nimekuelewa sio mtu anakaa kuponda tu huku haoni madhara yanayotokana na Vicoba maana Vicoba ni Janga la Taifa...
Kwanini iwekwe sheria? Kwaajili ya kulinda nini? Vicoba ni kitu halali kuna ambao vinawasaidia sana.
Kila kitu kina madhara na faida
 
Serikali iingilie kati hivi VICOBA vipigwe marukufu this is too much now watu wataendelea kufa tu
Wanawake wamejitumbukiza kwenye kusaka pesa hata zaidi ya wanaume. Utadhani wanalala njaa!!!

Naomba mmtag yule afisa aliyetoa takwimu za ndoa kuachika sana Dar kuwa chanzo ni kuombwa kinyume na maumbile. Hii aione na aiongeze kwenye dodoso.
 
Kwanini iwekwe sheria? Kwaajili ya kulinda nini? Vicoba ni kitu halali kuna ambao vinawasaidia sana.
Kila kitu kina madhara na faida
Sasa km halali kwanini watu wanajiua na wengine wanauana kisa Vicoba huoni km ni tatizo hilo au kwako ni sawa watu wafe tu tutawazika?
 
Sababu za kujiua na kuuana zipo nyingi.
Kuna wengine wanauana kwa wivu wa mapenzi..tuweke sheria gani hapo?
 
Weka sheria marufuku kucheza mchezo wa Vicoba baasi watu wapunguze kufa kwa kitu ambaacho sio kabisa yaan mchezo wa pesa ndio ukusababishie kifo kweli mbon sijasikia wanaocheza kamari kwa mhindi mtu amekufa au ameua kwa kuliwa pesa zake?

Nyinyi mna nini aisee au huu mchezo una nini ndani?
 
Mwanaume anakuoa hakuna cha nguo wala mafuta ya kupaka... sana sana ukimpata ambaye kidoooooogo mwenye afadhali atakulipia ada tu za watoto na chakula cha home mengine utajiju. Sasa huyu mwanamke jobless na mwenye mahitaji yake muhimu ataishije bila vikundi vya kujiwekea akiba na kukopa?????
Kwani kabla ya kuolewa huwezi pima uwezo wa mwanaume wa kukutunza
 
Weka sheria marufuku kucheza mchezo wa Vicoba baasi watu wapunguze kufa kwa kitu ambaacho sio kabisa yaan mchezo wa pesa ndio ukusababishie kifo kweli mbon sijasikia wanaocheza kamari kwa mhindi mtu amekufa au ameua kwa kuliwa pesa zake?

Nyinyi mna nini aisee au huu mchezo una nini ndani?
Nyinyi kina nani? Mimi hata sijui kicoba ni kitu gani na sijawahi kuwa interested ingawa kuna watu wanasema inawasaidia.

Sasa wivu wako wa kimapenzi kwa mke wako kusifanye na wengine wakose kitu Chenye manufaa kwao.
Ni jukumu lako kumwambia mkeo nini unataka na nini hutaki, ukiona haendani na matakwa yako basi fuata ustaarabu mwingine. Au mpe kile ambacho anakifata huko ili atulie.
 
Kwa kosa la kuchelewa kurudi nyumbani akitafuta fedha za rejesho la kikundi cha kikoba.

Kuchelewa kwa muda gani? Na akitafuta fedha wapi?? Kwa nani? Anatafuta vipi?
 
Nyinyi kina nani? Mimi hata sijui kicoba ni kitu gani na sijawahi kuwa interested ingawa kuna watu wanasema inawasaidia.
Sasa wivu wako wa kimapenzi kwa mke wako kusifanye na wengine wakose kitu Chenye manufaa kwao.
Ni jukumu lako kumwambia mkeo nini unataka na nini hutaki, ukiona haendani na matakwa yako basi fuata ustaarabu mwingine. Au mpe kile ambacho anakifata huko ili atulie.
Kumpa anachokifuata hivi unayajua mateso ya Vicoba wewe umesema hujui kuhusu Vicoba ndio maana ila hii michezo ina kero ila wanaume hatupendi tu kuusema ukweli mwisho wa siku ndio unakuta yanakukuta km yaliyomkuta Jamaa hii michezo ya Vicoba ni chanzo kingine cha umalaya katika Familia zilizo nyingi mwanamke anaona auze ili akalipe Vicoba so what this and what is this? The meaning is very unpleasant and unpredictable kwanin iwe hivi lakini

Piga marufuku huu mchezo utapukutisha watu huu mchezo oooooho
 
Ukinisoma tangu mwanzo utagundua sifagilii vicoba, kwanza hiyo pesa ya marejesho naipata wapi sitaki stress.

Ukiona anaenda vicoba means amehisi kuna pesa huko.

Mpe mahitqji ili atulie. Asipotulia huyo sio wako au sio level yako...
 
Ukimwambia aache hatakiiii mkuu hataki kabisa kusikia sasa ndio maana nasema Government iunde sheria huu mchezo upigwe marufuku baasi maana wanawake wengine vichwa ngumu wabiiiiishi unamkataza hasikiiiii
 
Duh mume anaacha ela ya nyama anakuta mchicha, sababu unaambiwa hakua na hela ya mchezo! Tho haijustify kuondoa uhai wa mtu ila kiufupi hali ya maisha mtaani ni mbaya sana ... counseling inahitajika watu waweze kucoup na hii hali.
"Muishi na wake zenu kwa akili"

Biblia
 
Ukimwambia aache hatakiiii mkuu hataki kabisa kusikia sasa ndio maana nasema Government iunde sheria huu mchezo upigwe marufuku baasi maana wanawake wengine vichwa ngumu wabiiiiishi unamkataza hasikiiiii
😅😅😅 serikali ipo busy na kukusanya tozo, tena ikupe suluhisho la mahusiano yako? You are not serious
Vicoba vinaingiza pesa serikalini..kuna miamla ya kufa mtu kule
 
Back
Top Bottom