Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
a) Egypt wanazalisha kila kitu kuanzia madawa, Vitanda mpaka Mashine za hospitali. (A lie, egypt relies heavily on import of medical equipment from europe, turkey and america)Hiyo ripoti inaonesha eti Kenya imezidi misri kwenye Huduma za Afya [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukienda kwenye community pharmacies za Kenya utakuta dawa Kibao made in Egypt,
Egypt wanazalisha kila kitu kuanzia madawa, Vitanda mpaka Mashine za hospitali,
Egypt ina makampuni makubwa ya dawatiba zaidi ya 20, Kenya hadi surgical masks wanaagiza China,
Egypt wana Pharmacy 50/1000 people na 1.5 hospital bed per 1000 population,
Hawa ndugu zetu sijui ni bangi gani huwa wanavuta
Sent using Jamii Forums mobile app
b) Egypt ina makampuni makubwa ya dawatiba zaidi ya 20, Kenya hadi surgical masks wanaagiza China (Another lie Kenyan factories are now making about 50,000 surgical masks a day while also exporting N95 masks and surgical masks to south africa)
c) Egypt wana Pharmacy 50/1000 people na 1.5 hospital bed per 1000 population (This is another lie Kenya had 1.9 beds per 1000 people in 2002 when egypt had only 1.4, due to population growth kenya went to 1.4 in 2014 while egypt was at 1.6 but we are now tied at 1.6 per 1000 people).
Africa: Health Care Index by Country 2020
Kenya | KE: Hospital Beds: per 1000 People | Economic Indicators | CEIC