Kazetela
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,714
- 1,642
Binafsi nimecheka sana nimeamini wakenya 10 wakiungana pamoja wanawanyamazisha WTZ 100[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana kajamaa Ni kamoja tu lakini kanatema checheeee.
Mleta Uzi kapaniki tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta Uzi kapaniki tayari.
Aisee, kauzi kamewageukia. 😀 Very insecure people mada wameileta wenyewe kwenye jukwaa hili alafu wakipewa dozi wanaanza kulia lia kwamba wamevamiwa. [emoji1] Safi sana @Kevin85fy, wape wape vidonge vyao.
Sent using Jamii Forums mobile app