Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya being number 3 in Africa is something I will agree. You are telling Kenyan health systems are better that Algeria! !! The most advanced country in Africa? ? Better than Morocco? ??
Never.!!!!
When this battle wa KE vs TZ....it was KE 1- TZ 0..... but now you are going out line !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Reading really is one of the best remedies for stupidity.
Health Care Index by Country 2020
Kikwete wa kitu kidogo mifuko ya pensheni ilitoboka kinoma kwa mradi huu! Sioni cha kumsifu labda mkongo wa Taifa!Usisahau kikwete ndo aliyeijenga
Usisahau kikwete ndo aliyeijenga
Kikwete wa kitu kidogo mifuko ya pensheni ilitoboka kinoma kwa mradi huu! Sioni cha kumsifu labda mkongo wa Taifa!
For what cost? Na legacy ipi hiyo? haikuwa na usimamizi mzuri watu walipiga kwenye miradi hii japo nia ilikuwa nzuri ndo maana mpaka leo unaona JPM anangaika ku-cancel out mikataba ya kijinga kama nyumba za NSSF Kigamboni! Bandarini sasa kodi inakusanywa si kipindi JPM anaingia zile kampuni binafsi za inland container binafsi zilikuwa zinafanya uharamia! Hata Rostam Aziz TICTS imesaini mkataba mpya na TPA na kutupilia mbali ule wa unyonyaji!I agree with you,
Infact UDOM nzima ni one of the historical Legacy aliyoacha JK.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakumaanishi Kama misri na Morocco ni waarabu Sasa Wana quality health care.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] Wakenya aisee wana mambo yn huwa wanapenda sana kujifariji na vi report vyao kutoka GoogleMzee mbona kama unaundermine waarabu
Morocco ni nchi ya Ulimwengu wa Kwanza mkuu, sio Level za hizi nchi zetu wananchi huko turkana wanashea maji ya kunywa na Ng'ombe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] Wakenya aisee wana mambo yn huwa wanapenda sana kujifariji na vi report vyao kutoka Google
For what cost? Na legacy ipi hiyo? haikuwa na usimamizi mzuri watu walipiga kwenye miradi hii japo nia ilikuwa nzuri ndo maana mpaka leo unaona JPM anangaika ku-cancel out mikataba ya kijinga kama nyumba za NSSF Kigamboni! Bandarini sasa kodi inakusanywa si kipindi JPM anaingia zile kampuni binafsi za inland container binafsi zilikuwa zinafanya uharamia! Hata Rostam Aziz TICTS imesaini mkataba mpya na TPA na kutupilia mbali ule wa unyonyaji!
TICTS now to pay double rental fee to TPA under new lease deal
Unajua Watz wengi wamekuwa wakisema hawa jamaa Hawako sawa upstairs, sasa naanza kuamini, hawa jamaa dishi zimecheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine being the first country in Africa
Over the last decade, Tanzania has proved leadership in healthcare services and delivery in the entire East Africa
To ensure the accessibility of advanced medical services, Tanzania invested heavily in construction of infrastructures and the Human Resource, as well as the modern medical equipments.
The Number of Tanzanians travelling abroad for medical reasons has been significantly reduced and the Number of Neighbouring countries citizens seeking medical services in Tanzania has been increasing on monthly bases
Tanzania recently lounched The Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma that has seccessfuly performed several Kidney transplants among other services
In addition to that, Mloganzila Medical centre, Muhimbili Orthopedic Institute, Ocean Road Cancer Institute, Jakaya Kikwete Cardiac Institute has been well established receiving hundreds of patients from Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia , Congo and other neighbouring countries that could spend more costs on travelling to India or South Africa for medical reasons
Attached are the pictures of the Benjamin Mkapa hospital for your impression
Mkoloni aliondoka na akili zao [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najaribu tu kuimagine kama Tundu Lissu tungempeleka apo mnapopasifia kwa uzuri was majengo tu Ben Mkapa Dom au uko Muhimbili Dar nadhani saiv tungekua tunasema ''enzi za hayati Tundu Lissu bhanaa upinzani ulikuwa na nguvu sana [emoji16][emoji16][emoji16]''
Wacheni utani bhanaaa, Wakenya wameokoa maisha ya Tundu Lissu kwa 70% ndo wakaenda kumalizia uko mambele...
Tusijifananishe na wakenya hata robo, eti kisa tu tumeejenga hospital ya ghorofa hehehehehe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanayofaa? Kunyaland imegundua dawa ya COVID-19? do u listen to urself how stupid do u sound? Aside remediation towards raising one's immunity viral diseases have never had cure! JPM with a PHD in Chemistry knows that!Bieng the first to what? to pass effective laws that govern how medical products are produced and distributed? well congratulations on that... Wacha sisi tupambane na kutibu magonjwa kutumia dawa zinazofaa mwanzo alafu tukimaliza ndo tuje huko kwenu kwa sheria mwafaka.
Takwimu za zamani sana hizo 😁😁😁😁Watanzania wengine sometimes huwa mnakua na kaushamba flani vile, sasa kwavile mmefungua hospitali mpya ndo basi mshaipiku Kenya kwa sector ya Afya? Hivi mbona bado watanzania wengi wanakufa kwa magonjwa kuliko wakenya?
Hebu tuangalie hizi takwimu hapa ndo mjue vile bado Tanzania mko nyuma sana kwa sector ya Afya kulinganisha na Kenya. Lakini ukilinganisha na nchi za magaribi au hata SA, sote tuko nyuma sana!
General Surgions
Kenya - 257
Tanzania - 63
Majina yao utayapata hapa Browse for healthcare providers – select a country
Nuclear Medicine specialist
Kenya - 1
Tanzania - 1
Vascular Surgeon
Kenya - 0
Tanzania - 0
Radiologist
Kenya - 68
Tanzania - 22
Browse for healthcare providers – select a country
Neurosurgeon
Kenya - 24
Tanzania - 7
Browse for healthcare providers – select a country
Ear, Nose & Throat Surgeon (ENT)
Kenya - 92
Tanzania - 40
Browse for healthcare providers – select a country
Cardiologist
Kenya - 67
Tanzania- 51
Cardiac & Thoracic Surgeon
Kenya - 16
Tanzania - 11
Browse for healthcare providers – select a country
Anaesthetist --- (Sidhani kama unawezakufanya upasuaji wowote mgumu wa kisasa bila hawa jamaa)
Kenya - 185
Tanzania - 16
-----------------------------
Yani kwa kifupi hakuna mahali Tanzania imeishinda kenya kwa wataalam wa Afya, sasa sijui hayo majengo ya hospitali mnajengea nani
Yes, kutumia dawa zinzazofaa, as in accuracy in diagnosing and prescribing treatment... nyinyi mnagawanya dawa vizuri mkitumia guidlines mlizojiwekea alafu madawa yakifika kwa mahospitali, madaktari wenu wanashindwa ku diagnose magonjwa na wanaishia kupatia watudawa ambazo hata hazifai 😇Yanayofaa? Kunyaland imegundua dawa ya COVID-19? do u listen to urself how stupid do u sound? Aside remediation towards raising one's immunity viral diseases have never had cure! JPM with a PHD in Chemistry knows that!
source?Yes, kutumia dawa zinzazofaa, as in accuracy in diagnosing and prescribing treatment... nyinyi mnagawanya dawa vizuri mkitumia guidlines mlizojiwekea alafu madawa yakifika kwa mahospitali, madaktari wenu wanashindwa ku diagnose magonjwa na wanaishia kupatia watudawa ambazo hata hazifai 😇
View attachment 1432669
Alafu kuhusu mambo ya research za viral disease, Tanzania haina Level 3 research facility hata moja, kwahivyo wachia mambo ya utafiti kwa wataalam wanaojua,