Dodoma: Photos of Benjamin Mkapa Hospital, East Africa's milestone in medical field

Umepanic budaa [emoji3][emoji3]
 
Km unaamini bado hawaja update, bac kaa ukijua hata ile report uliyoileta hapa pia ni kwasababu hawajai update, na ndio maana nkakwambia subiri report mpya utakimbia humu, hamna msuli wa kutunishiana na Tz kwenye sekta ya afya kwa ss amini nakwambia[emoji116][emoji116].
Imagine being the first country in Africa

 
Jana nimecheka sn baada ya kuona report ime rank kenya kuwa juu ya Egypty na mkenya bila woga anaisambaza, zen Rwanda iko ahead of Tanzania, wallahi hawa wakenya wana laana kwakweli [emoji3] [emoji3][emoji3]
 
Reactions: Oii
Jana nimecheka sn baada ya kuona report ime rank kenya kuwa juu ya Egypty na mkenya bila woga anaisambaza, zen Rwanda iko ahead of Tanzania, wallahi hawa wakenya wana laana kwakweli [emoji3] [emoji3][emoji3]
Rwanda kutupita naeza kubali maana kanchi kadogo sana wakiketa mambo ya statistics wanaweza kutufumua maana nchi nzima labda madaktari 100 wanatosha.

Ila kwa kujiweka juu ya Egypt, Algeria, Morocco. .....kwa kweli hapo hapana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo ndio Google Mkuu, upuuzi mtupu, vigezo vyao ni vya kijinga sn ukiangalia utakuta ni kweli kenya ipo juu ya Egypty lkn co kitu cha kushabikia mana kiuhalisia haipo hvyo, Rwanda haiwez gusa mziki wa Tz hata kidogo, waangalie maisha halisi ya Mnyarwanda na mtz haiwezi kuwa sawa hata kidogo, Rwanda mji wanaoutegemea ni kigali tu the rest ni pori huwezi fananisha na Tz hata kidogo.
 
My fren huyo clinical officer uko kwenye tefferal hosp huku hawapo kwann ni kwasababu kule wanadeal na case kubwa ambazo katika primary health facilities wameshindwa kumanage....
as far as I know hata opd za regional hosp incharge lazima awe Physician sio medical doctor...huku ni kwasababu kuna uhaba tu lakin huwez sema hosp ni ya rufaa alafu umejaza watu ambao bado hawawez fanya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna how?usibishie uzoefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe inachagua mgonjwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kichwani una tope , hivi swali la kujiuliza Nchi yako na marekani ipi ipo Bora kiafya? Kama korona ni kipimo Cha mfumo wa afya unajua marekani mpaka leo maambikizi yapo laki ngapi ? na ikiwa wao ni mabigwa wakutengeneza chanjo za virusi duniani mdhamini wa hizo chanjo akiwa tajir namba 1 duniani ,halaf wewe umekaa hapo unatoa mawazo yaliyochanganyika na njaa sugu. Pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwanda si nchi ndogo mkuu, nchi yenye watu milioni 11 ni nchi kubwa hasa linapokuja suala la huduma za Kijamii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are so dumb dogo, Let me teach you, we have Ph.Ds and Professors in Nursing and midwifery practice, Sasa tukisema eti sababu we don't have COs in our referral Hospital basi is the same as not having a Nurses is pathetic. A medical doctor is not above the Nurse or vice versa, their roles are quite different and you can't mix the two. inaonekana Nzige wameleta njaa imewavuruga vichwa, vimejaa kamasi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Oii
Kuna mkenya kajisemea "Tanzania has a generally intellectually handicapped population" .Hata kama inaumiza nakubaliana nae 100%.
Majority ya watanzania wana profound mental retardation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…