Dodoma: Photos of Benjamin Mkapa Hospital, East Africa's milestone in medical field

Hakumaanishi Kama misri na Morocco ni waarabu Sasa Wana quality health care.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
I agree with you,
Infact UDOM nzima ni one of the historical Legacy aliyoacha JK.

Sent using Jamii Forums mobile app
For what cost? Na legacy ipi hiyo? haikuwa na usimamizi mzuri watu walipiga kwenye miradi hii japo nia ilikuwa nzuri ndo maana mpaka leo unaona JPM anangaika ku-cancel out mikataba ya kijinga kama nyumba za NSSF Kigamboni! Bandarini sasa kodi inakusanywa si kipindi JPM anaingia zile kampuni binafsi za inland container binafsi zilikuwa zinafanya uharamia! Hata Rostam Aziz TICTS imesaini mkataba mpya na TPA na kutupilia mbali ule wa unyonyaji!

https://www.ippmedia.com/en/news/ticts-now-pay-double-rental-fee-tpa-under-new-lease-deal
 

Uko sahihi sana. JK lile kundi la kina Lowassa na Rostam lililo msaidia kumshinda Dr Salim Ahmed Salim ndio kundi la uharamia mno na nafikiri ndio chanzo cha yeye kushindwa kusimamia chochote vyema.

Hii TICTS huko Bandarini, hivi Nazir Karamagi anasimama kama nani kwenye hii kampuni?
 
Imagine being the first country in Africa

Bieng the first to what? to pass effective laws that govern how medical products are produced and distributed? well congratulations on that... Wacha sisi tupambane na kutibu magonjwa kutumia dawa zinazofaa mwanzo alafu tukimaliza ndo tuje huko kwenu kwa sheria mwafaka.
 





Mkoloni aliondoka na akili zao [emoji23] [emoji23] [emoji23]










Watanzania wengine sometimes huwa mnakua na kaushamba flani vile, sasa kwavile mmefungua hospitali mpya ndo basi mshaipiku Kenya kwa sector ya Afya? Hivi mbona bado watanzania wengi wanakufa kwa magonjwa kuliko wakenya?


Hebu tuangalie hizi takwimu hapa ndo mjue vile bado Tanzania mko nyuma sana kwa sector ya Afya kulinganisha na Kenya. Lakini ukilinganisha na nchi za magaribi au hata SA, sote tuko nyuma sana!



General Surgions

Kenya - 257
Tanzania - 63
Majina yao utayapata hapa Browse for healthcare providers – select a country



Nuclear Medicine specialist

Kenya - 1
Tanzania - 1




Vascular Surgeon

Kenya - 0
Tanzania - 0


Radiologist

Kenya - 68
Tanzania - 22
Browse for healthcare providers – select a country



Neurosurgeon

Kenya - 24
Tanzania - 7
Browse for healthcare providers – select a country


Ear, Nose & Throat Surgeon (ENT)
Kenya - 92
Tanzania - 40
Browse for healthcare providers – select a country


Cardiologist
Kenya - 67
Tanzania- 51


Cardiac & Thoracic Surgeon
Kenya - 16
Tanzania - 11
Browse for healthcare providers – select a country




Anaesthetist --- (Sidhani kama unawezakufanya upasuaji wowote mgumu wa kisasa bila hawa jamaa)

Kenya - 185
Tanzania - 16





-----------------------------
Yani kwa kifupi hakuna mahali Tanzania imeishinda kenya kwa wataalam wa Afya, sasa sijui hayo majengo ya hospitali mnajengea nani
 
Yanayofaa? Kunyaland imegundua dawa ya COVID-19? do u listen to urself how stupid do u sound? Aside remediation towards raising one's immunity viral diseases have never had cure! JPM with a PHD in Chemistry knows that!
 
Takwimu za zamani sana hizo 😁😁😁😁
 
Yanayofaa? Kunyaland imegundua dawa ya COVID-19? do u listen to urself how stupid do u sound? Aside remediation towards raising one's immunity viral diseases have never had cure! JPM with a PHD in Chemistry knows that!
Yes, kutumia dawa zinzazofaa, as in accuracy in diagnosing and prescribing treatment... nyinyi mnagawanya dawa vizuri mkitumia guidlines mlizojiwekea alafu madawa yakifika kwa mahospitali, madaktari wenu wanashindwa ku diagnose magonjwa na wanaishia kupatia watudawa ambazo hata hazifai 😇





Alafu kuhusu mambo ya research za viral disease, Tanzania haina Level 3 research facility hata moja, kwahivyo wachia mambo ya utafiti kwa wataalam wanaojua,
 
source?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…