DODOMA: Rais Magufuli azindua ofisi ya Rais (Ikulu) Chamwino na mji wa Serikali eneo la Mtumba

Mbona ikulu ya Dar picha ni nyingi mtaani!
Nadhani ulimanisha picha za majengo. Kiusalama n ngumu ndio maana. Ivo lazima kuna katazo ndio maana hadi sasa hazipo hapa jamvini kama zilipigwa naamini utaiona kwenye habari au aliyekuwepo atatuwekea ila sidhan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani naomba kuuliza.
Ikulu ya Dar es Salaam inaoneshwa namna ilivyo na tunapigiwa picha tunaona mjengo wetu, je Ikulu ya Chamwino Dodoma ikoje? Je, ina hadhi kama hii ya Dar es Salaam?

Mbona haioneshwi ilivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…