Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea hati za mabalozi wa nchi nne ikulu jijini Dodoma
Mabalozi waliowasilisha hati zao ni balozi wa Saudi Arabia, Jamhuri ya Korea, Indonesia na Morroco. Katika Hafla ya kupokea hati kulikuwepo na kliniki ya kutoa chanjo ya #COVID19