Dodoma: Rais Samia awataka Majaji na Mahakimu kutokuwa miungu watu, watende haki kwa kufuata sheria

Dodoma: Rais Samia awataka Majaji na Mahakimu kutokuwa miungu watu, watende haki kwa kufuata sheria

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia, Majaji, wageni waalikwa pamoja na wananchi kwa ujumlakwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 03 Februari, 2025.
 

Attachments

  • Gi21YlZXgAAxQ2l.jpeg
    Gi21YlZXgAAxQ2l.jpeg
    76.1 KB · Views: 3
  • Gi21YlbXMAA4pis.jpeg
    Gi21YlbXMAA4pis.jpeg
    74.1 KB · Views: 2
  • Gi21YlaXIAAGyn0.jpeg
    Gi21YlaXIAAGyn0.jpeg
    69.1 KB · Views: 1
Aliyeshika Bible atusomee kile kipande cha kabla hujatoa kibanzi jichoni…..
 
Kwahiyo Mwabukusi yeye na TLS yake kukaa na serikali si kulamba asali Ila akina akina Mbowe wakiongea na Samia ni kulamba asali!! Nchi ina watu wapumbavu sana hii!
Ni kweli nchi ina watu wapumbavu sana ambao wengine tuliokuwa tunawafikiria kuwa si wapumbavu, wameonyesha upumbavu wao hadharani baada ya bwana wao kuangushwa.

Terms na Conditions, pamoja na kauli zinazotolewa na kukubaliwa na pande zote ndizo zinazofanya wenye akili wachache tujue hapa kuna asali,masega au hamna kitu kabisa!
 
Mathayo 7:5 Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
Ewaaaa..!! Ahsante Mtumishi na hilo ndo jibu langu kwenye huu uzi..!!
 
Kwasababu wanawake lao jiko.
Rais anasema nalo hilo mkalitazame😀😀😀
Nchi kuwa na maendeleo inahitaji watu wenye roho ngumu na sheria yenye usawa.
Juzi hapa rais wa marekani ameshitakiwa, watu hawana mchezo na nchi yao ila Afrika sasa. Utanijua mimi ni nani😀😀😀
 
Pumbavu wewe mngejua haki dr slaa angekua ndani mpaka Leo? Haki mnalopokea mdomoni tu.
Dk. Slaa anapata alichostahili. Kasome "The Philosophy of Machiavelli" au "Machiavellianism". Ukiielewa, njoo tujadili. Kumbuka hiyo ni ya wazungu. Sio ya Wabongo kama wewe!
 
Back
Top Bottom