Dodoma: Serikali ina mpango gani na shule hii chakavu, yenye mwalimu mmoja na wanafunzi zaidi ya 90?

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Wananchi wa kitongoji cha Kwaduria wilayani Chemba, mkoani Dodoma wamelazimika kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kunusuru watoto wao ambao wanatembea umbali wa km 8 kwenda shule ya msingi Songolo


Your browser is not able to display this video.
 
Kila uongozi una mambo yake.,... magufuri yeye alikuwa anawakomoa matajiri na wasomi, mama samia yeye kaamua kula Bata na matajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…