Endelea kusherekea ujinga nawe siku yako yaja na kizazi chako utatambua tu kwamba Mungu anajibu matendo yako. Ina maana wewe na ndugu zako hamtakufa? Jitambue sasa tengeneza mapito yako.Kaharibu nchi kwa miaka mitano acha aende karibu sie twasherekea kila tukikumbuka mach seventiiin View attachment 1812369
Tulia wewe, jizi la saruji.Sawa kaka wewe ndio muelevu hakuna shida, sasa serikali siipo DODOMA shida ya nini unafoka kiasi hiki.
Ulivyo andika comment yako tu imeakisi ulivyo ..your Dumb-Ass
Tatizo mnabishana hapa bila fact, nenda kasome Ilani ya uchaguzi 2015 miradi yote imeainishwa. Kukamilika kwa miradi inategemea na ukubwa wa mradi husika, SGR au bwawa la umeme huwezi jenga kwa mwaka mmoja.Chatto airport imo kwenye ilani?, mnamanisha nini mnaposema miradi ilitekelezwa kwa kasi, Kama mpaka kafa hakuna mradi hata mmoja kakamilisha kwa Muda?
Hapa hautawaona kina missile of the toilet..babati..robert herielii..wao huwa wanakuja kwenye mada za kuwasuta kina sabaya na makondaa..
Mzee alishasema..mtanikumbukaaa..tartiiibuuu tunaelekea hukoo..
Hata huyo shujaa wako alikua jiz piaUpembuzi yakinifu maana yake nini?
Hii nchi ilihitaji kiongozi shupavu anayeweza kuisukuma mbele kwa nguvu. Na mtu pekee aliyeweza kufanya hivyo ni Magufuli pekee.
Nchi lazima ijengwe na wenye akili na wanaojitambua, sio MAJIZI wanaojificha kwenye maneno ya kitapeli na ujanja ujanja.
Mara sijui upembuzi yakinifu sijui nini nini! Upuuzi mtupu!
Ndio maana ndani ya miaka mitano tu, nchi imejengwa kweli kweli. Maana alikuwepo mtu anayejitambua.
Mabarabara, vituo vya afya, ndege, meli sijui manini. Kila mahali miundombinu.
Nyinyi magoigoi mmejifungia vyumbani mnajamba tu na kuja na stori uchwara, ati upembuzi yakinifu.
Fanya kazi, acha ujanja ujanja!
Huo upembuzi yakinifu mkafanye na mmeo huko. Wananchi wanahitaji kazi sio blah blah.
Dar imetutia umaskini!Sasa Dodoma unawekeza nini??
Mvua hakuna, madini hakuna,utalii hakuna, ardhi imejaa chumvi na magadi wewe Mgogo vipi. Dar kuna barandari , dar kuna shughuli za Uvuvi, utalii n.k.
Ndo hivyo boss.. halafu utaviskia vinasema mie dar hunitoi
Mleta mada hili bandiko si kweli, mbona watu wanafidiwa ili kazi ianze ?TEMA MATE CHINI MAISHA BADO YANAENDELEA NA UKUMBUKE HALAFU NI KAMA GWALIDE NA VILE VILE KAMA TAULO ULIPOFUTIA TAKO JANA LEO UNAFUTIA MDOMO YANAWEZA KUBADILIKA GHAFLA UKAWA WEWE OMBAOMBA
Nimesoma comments zako na post zako huko nyuma nimekuja na conclusion ndugu yangu unaishi na fikra za ILLUSIONS .Tulia wewe, jizi la saruji.
Unafikiri nchi inajengwa kwa kubembelezana na kupapasana makalio?
Serikali ilihamia Dodoma ndani ya mwaka mmoja tu kwa sababu kulikuwa na buldoza ambalo lilikuwa ngangari kweli kweli.
Serikali ya watu dhaifu dhaifu ingechukua karne.
Ohhh tuko kwenye upembuzi chokonozi, mara sijui upembuzi fikirishi.
Mara sijui tumeunda kamati ya kutizama kwa jicho la tatu!
Mzaha mzaha tu! Mnafikiri tumechanganyikiwa kama nyie?
Hebu kale chips huko, usinipotezee muda mimi.Nimesoma comments zako na post zako huko nyuma nimekuja na conclusion ndugu yangu unaishi na fikra za ILLUSIONS .
inawezekana ramani imebadilika lakini au ndio serikali imeamua kula hasara na mradi usiwepo hivyo kwa kupiga kelele inaweza kusaidia jambo hilo likakanushwa na kurudishwa na sisi tukakubali kuwa mkubwa hakosei.Mleta mada hili bandiko si kweli, mbona watu wanafidiwa ili kazi ianze ?
Unachotakiwa kujua ndugu ni kuwa,kinachopigwa vita ni mafanikio yake kwa lugha nyingine wivu ndo unawasumbua.ktk serikali hii ya sasa, viongozi wa CCM waliopo sasa na viongozi wa bunge na baadhi ya wabunge kuna waliosema maneno machafu,ya kashfa na hata yaliyosababisha wengine kuumizwa na baadhi tumewasikia wakikiri na kuomba radhi, lakini husikii hao watu wakisakamwa na hao wanaojiita wanasiasa/wanaharkati,kwa hiyo anaetafutwa ni mafanikio ya diamond sio kile kinachodiwa sijui alihamasisha Magu abaki madarakani.So wanaomsuta Mondi wakati masaadizi wa mwendazake waliyepiga naye kampenui yupo ambaye pia ndio Rais, wana akili timamu au vichwa vimejaa tope? (sauti ya mdee)_
Mji kama Dar ukiangalia ni upumbavu mtupu!Huo mji umetupotezea mda Sana
JPM mwenyewe alinunua/ aliuziwa nyumba za serikali. Kama alikuwa mzalendo angekuwa wa kwanza kjpinga zoezi hilo. Ni waziri mmoja tu ( JMM) alilipinga, reshuffle iliyofuata BWM akamwondoa kwenye Baraza la Mawaziri. Mwisho ogopa sana mtu anayemtaja Mungu kila wakati na hata Biblia imetuonya kuhusu watu wa aina hiyo. Ni maoni yangu tu.Tulishauri itungwe sheria, tena mimi nilitaka yafanyike mbadiliko ya katiba ili kulinda mali zote za kudumu za uma (serikali) zisiweze kuuzwa, nikajibiwa kuwa katiba si kipaumbele. kuwa katiba ni kikaratasi tu nk. Lengo langu ilikuwa ni kulinda mali na hasa miradi mikubwa ambayo JPM aliyoanza kuijenga isije kutekwa na wachache baada ya yeye kuondoka.
HAKIKA LILE DARAJA LA BAHARINI KWENDA COCO BEACH SIJUI KWANINI HAWAKUTAKA PESA HIYO IKAWAPE MAJI VIJIJINI.KUNA WATU WANAFIKI SANA HUMU,HAKUNA JINSI TUTAISHI NAO HIVYO HIVYO.
=======================================
TUKUBALIANE IPO MIRADI AMBAYO ILIANZISHWA KATIKA MWENDO WA KICK TU.
->Daraja la salender (lile la baharini)
Kila nikilitathimini sioni umuhimu wake,
-->pamoja na maintachenji foleni ipo palepale,
#miradi ya kick...!
#population ya dodoma Ahihitaji ring roads,wakajifunze #zimbabwe.
#Dar es salaam lihitaji ring road,ianzie kurasini ipite pembeni ya mji itokeze hata ikibidi chalinze waende ZAO mbali....!
Inatakiwa wafute miradi yote ya Magu, waanzishe Yao na waendelee na ule WA bandari Bagamoyo wamechelewa sana.
#KaziNaIendelee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli aipige chini ili ile hela watuwekee mifukoni. Yaani sasa hivi ukipita mitaani unaokota hela nje nje.
Wezi nana wanamtetea mwiviHapa hautawaona kina missile of the toilet..babati..robert herielii..wao huwa wanakuja kwenye mada za kuwasuta kina sabaya na makondaa..
Mzee alishasema..mtanikumbukaaa..tartiiibuuu tunaelekea hukoo..
Mkurugenzi wa Dodoma hana akili.Serikali ya awamu ya tano ya Hayati Magufuli twajua iliasisi miradi mingi ktk maeneo mbalimbali ya nchi,mfano bwawa la mwal. Nyerere,reli ya mwendo Kasi (SGR) ,barabara za njia nane,ringroads na miradi mingine mingi.
Miradi hii kiukweli ilileta mabadiliko makubwa ya maendeleo ya miji na vijiji,na kuleta mvuto wa miji maeneo ambayo miradi hiyo ilipita.
Baada ya kifo Cha Hayati Magufuli, aliyekuwa Rais wa awamu ya tano kuna mijadara mingi mitaani kuhusu kuendelezwa kwa hii miradi,katika pitapita nikakutana na hili la kusitishwa kwa ujenzi wa ringroad ya kati ya jiji la Dodoma ambayo ilipotia maeneo ya mtaa wa Nkuhungu
Mkurugenzi wa jiji la Dodoma amesitisha ujenzi wa ringroad hiyo na kuwaruhusu wananchi waendelee na shughuli zao za ujenzi kama kawaida, hii ni baadhi ya miradi ambayo iliasisiwa kipindi Cha Hayati Magufuli enzi za uhai wake ktk kulifanya jiji la Dodoma kuwa na muonekano mzuri na uliopangika vizuri.
Kwasasa mitaani watu wanajasili je hii miradi iliyoasisiwa na Hayati Magufuli itakamiika kweli!? au ndo hivyo tena itabaki hadithi ilisiyokuwa na mwisho!
Japo kuna siku nilimsikia Waziri Mkuu aliwatoa wasiwasi watanzania kwa kusema , watu waondoe mashaka miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na Serikali ya tano yote itakamilishwa kwa muda uleule uliokuwa umekadiliwa awali enzi za uhai wa Hayati Magufuli.
Je, ilikuwa ni kuwatuliza watu pressure za mashaka au ! Kama hii miradi midogo imeanza kusitishwa mdogomdogo je hii mingine ya mabilioni ya pesa itakuwaje? Anyway ngoja tuone mambo yatakuwaje, ila wananchi tukeyatunza maneno ya Waziri Mkuu kwenye kumbukumbu zetu, alitutia moyo na kutuondoa mashaka kwamba miradi yote iliyoasisiwa na Serikali ya awamu ya tano itakamilika.
Waziri Mkuu tunakumbuka maneno yako,ipo siku tutataka utupe maelezo ,ilikuwaje?
Sasa mkuu, bhasi wasingeruhusu Ardhi iliyopangwa kw ajili ya "Ring road" wananchi waiendeleze.KINACHOHIFADHIWA KWA FUTURE YA MIAKA MINGI IJAYO NI ARDHI, AU FUTUTE STRATEGIC PLANS, NI UPUMBAVU KUPLANI MIRADI YA MIAKA 200 MBELE HUKU RAIA WAKO WAKIKOSA HUDUMA ZA AFYA BORA NA NAFUU,
NI AKILI KUTUMIA FEDHA HIZO KATIKA KUBUNI AU KUANZISHA MIRADI ITAKAYOZALISHA AJIRA ZA KUTOSHA AT MEAN TIME.