Dodoma, soko la Machinga mnagawia mtu aweke baa. Hapo mnatengeneza nini?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Kuna saa utafikiri tunawaza kwa kutumia makalio, soko la machinga unaanza kugawia muuza bar kwanza kabla ya machinga ili pombe zitangulie hapo mnatengeneza nini?

Halafu mnakuja mnalalamika kwenye TV kua maadili yame momonyoka?

Mna ya momonyoa wenyewe halafu mnalalamika wapuuzi kabisa.

Hii nchi aliiweza Magufuli tu wengine wahuni tu, ni uhuni tu
 
Ebu weka nyama hii habari tuone jinsi watawala wanavyofikiri kwa kutumia hayo matako.
 
Kuna saa utafikiri tunawaza kwa kutumia makalio, soko la machinga unaanza kugawia muuza bar kwanza kabla ya machinga ili pombe zitangulie hapo mnatengeneza nini?

Halafu mnakuja mnalalamika kwenye TV kua maadili yame momonyoka?

Mna ya momonyoa wenyewe halafu mnalalamika wapuuzi kabisa.

Hii nchi aliiweza Magufuli tu wengine wahuni tu, ni uhuni tu
Itapendeza zaidi kama pembeni yake watamuweka mtu anaeuza jani la chuga...!!![emoji41][emoji41][emoji41]

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]kumbe daahhh!huzuni sana Ila acha waisome namba Hawa watu
 
Kuna saa utafikiri tunawaza kwa kutumia makalio, soko la machinga unaanza kugawia muuza bar kwanza kabla ya machinga ili pombe zitangulie hapo mnatengeneza nini?

Halafu mnakuja mnalalamika kwenye TV kua maadili yame momonyoka?

Mna ya momonyoa wenyewe halafu mnalalamika wapuuzi kabisa.

Hii nchi aliiweza Magufuli tu wengine wahuni tu, ni uhuni tu
Kwamba vizimba vya machinga wao wanapanga beer au soko lina eneo la kuuzia beer pia ambalo liko tayari ? Sio kila kitu na kulalamika hapa huku ukimtaja Maguful
 
Back
Top Bottom