Itapendeza zaidi kama pembeni yake watamuweka mtu anaeuza jani la chuga...!!![emoji41][emoji41][emoji41]Kuna saa utafikiri tunawaza kwa kutumia makalio, soko la machinga unaanza kugawia muuza bar kwanza kabla ya machinga ili pombe zitangulie hapo mnatengeneza nini?
Halafu mnakuja mnalalamika kwenye TV kua maadili yame momonyoka?
Mna ya momonyoa wenyewe halafu mnalalamika wapuuzi kabisa.
Hii nchi aliiweza Magufuli tu wengine wahuni tu, ni uhuni tu
Kwamba vizimba vya machinga wao wanapanga beer au soko lina eneo la kuuzia beer pia ambalo liko tayari ? Sio kila kitu na kulalamika hapa huku ukimtaja MagufulKuna saa utafikiri tunawaza kwa kutumia makalio, soko la machinga unaanza kugawia muuza bar kwanza kabla ya machinga ili pombe zitangulie hapo mnatengeneza nini?
Halafu mnakuja mnalalamika kwenye TV kua maadili yame momonyoka?
Mna ya momonyoa wenyewe halafu mnalalamika wapuuzi kabisa.
Hii nchi aliiweza Magufuli tu wengine wahuni tu, ni uhuni tu