Dodoma: Spika wa Bunge, Dkt Tulia ashinda mbio za mita 100 zilizowashirikisha viongozi Wanawake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ameibuka mshindi kwenye mbio za mita 100 zilizoshirikisha Viongozi Wanawake wakati wa tamasha la CRDB Bank Pamoja Bonanza katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo Juni 25, 2022.

Chanzo: bunge_tanzania

Haatimaye 'Fidodido' kaibuka Mshindi Kudadadeki!!!!
 
Hana mazoez mengine Zaid ya hayo, pisi Kali huwa zinapigishwa kazi night wanawezaje kukimbia hvyo
 
Ndugu yangu GENTAMYCINE wewe unakuwa kama mgeni wa wanasiasa. Wanasiasa hawaoni shida wengine wote kujichelewesha ili kiongozi ashinde na kupata ujiko [emoji3][emoji3],mbaya zaidi mwanasiasa mwenyewe wa ccm.

Mimi bado siamini kama matokeo hayakuwa ya mchongo.
 
Haaa haaaa dah you made my day
 
Ukikamatwa usiniite nikuwekee dhamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…