Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
DODOMA: MWALIMU MKUU MBARONI KWA TUHUMA ZA RUSHWA ILI KUTOA CHETI
Mwakangale Mangongose mwalimu mkuu wa shule ya msingi Karume, kata ya Kibaigwa Wilayani Kongwa anatuhumiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, TAKUKURU kwa rushwa ya Tsh 55,000
Mwalimu huyu anatuhumiwa kupokea hela hiyo ili kutoa cheti cha darasa la saba kwa kijana aliyekihitaji ili aweze kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa, JKT
Baada ya ya kukamatwa uchunguzi ulibaini uwepo wa vyeti vingine ambavyo mtuhumiwa alivitoa kwa vijana wasiostahili kwa kuwa hawakusoma shuleni hapo
Kosa la kushawishi na kupokea rusha ni kinyume na kifungu cha 15(1)a cha sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11/2007