Dodoma the future modern capital city in East Africa

Naweza kukubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa. Siyo kazi rahisi,miji inaweza kukua lakin lazima iwe na Business Potentials. Nimewahi kuishi Dodoma,hauna mazao makubwa ya kilimo kama ilivyo Mbeya,haina Bandari,haina Ziwa. Ni land locked area.
Mfano mmoja ni Abuja na Lagos. Pamoja na Serikali kuhamia Abuja,bado Lagos iko juu mara 18 ya Abuja kwa kila kitu. Sema miji mikubwa mipya huwa imepangwa ikapangika,inavutia. Kwa hiyo Dodoma haitaweza kirahisi kuipita hata Mwanza,sisemi Dar es Salaam Nairobi au Mombasa! Siyo jambo rahisi,ingawa unaweza kupangika kisasa lakini hadhi ya kuizidi N'bi,M'mbasa au Dar bado kidogo. Kwa sababu unapotoa masterplan hizo za kisasa kwa Dodoma,tambua basi hata Dar wanatoa mpya,Mtwara,Mbeya,Mombasa,Kampala,Kisumu,Arusha,Nakuru,Morogoro nk.
Cant eplain it any way better.
 
Where dodoma is

tzcolor.gif
 
Delusional to say the least. The only East Africa we are invested in is the one encompassing Kenya, Uganda, SS, Rwanda and Ethiopia. We are not interested in political unions! Least of all with a backward looking country that is yet to figure out whether they are East Africans or Southern Africans.

Let me not air my opinion of that dusty town.
 
Sijasema uombe msaada KWANGU, Bali nimesema omba msaada humu utaelekezwa!! Dogo punguza ukanjanja! Umetaja RSA nikajuwa huenda vyeti yako vya kwenye laptop
Hapana usimkatishe, hilo aliloliwaza ndio lililopo na lililo kuwepo vichwani mwa waasisi wa nchi hizi za kiafrika. United States of Africa, Nyerere, tuanze kuviunganisha kwa vipande, kanda, Kwame, tuliunganishe lote kwa ujumla wake.

Nyerere alishawahi kukiri, falsafa yake juu ya unganiko haikuwa bora dhidi ya ile ya Kwame.

East Africa ilikuwa na nchi tatu tu, leo ziko tano na bado zingine zinaleta maombi. Ukiondoa south Sudan na Somalia, Congo, Zambia, Malawi na Msumbiji hazitakuwa na namna ni kujiunga tu. Ni suluhisho la kudumu la migogoro mingi barani, ya kisiasa, kiuchumi na kijamii pia.
 
Ndugu nilishawahi kusikia Congo wapo na mpango huo. Hebu soma hapa ndugu
Mimi huwa siji na taarifa tu.

https://www.trademarkea.com/news/east-africa-keep-somalia-south-sudan-out-of-eac/
 
Tanzania has the biggest landmass, population, resources etc......save for the economy. Had it had its economic policies right from the onset....by that I mean immediately after attaining its independence, the country today would have long attained that "superpower" status it so badly wants to grab from Kenya. Infact, it is the country with the most
Potential develop.
Ni kweli, lakini hata tulipofikia si haba ukilinganisha na tulipoipokea hii nchi. Najua hatukustahili kuwa hapa lakini tulipofikia si pa kubezwa pia. Mengi yametufikisha hapa, lakini yaliyo makuu ni utu wetu na udugu wetu wa kiafrika.... Haya si ya kujilaumu nayo, binadamu aliyekamilika kiakili hawezi tafuta furaha yake binafsi bali ya wote wanaomzunguka.
 
Right there u have highlighted the very issues that have caused Tanzania's hesitation to accede to and implement the EAC pacts in the recent past.....its unwillingness to bear the bargages of the other member countries.
Tanzania, since the collapse of the first EAC, has never been a fan of anything akin to a political or economic union in the EAC.
Ilijipa muda wa kujiandaa, nadhani maandalizi yako ukingoni.
 
I am curious what Kikuyu has to do with Dodoma. Is that tribalism? Ama Tanzania hamtaji majina ya your tribes?
Mkuyu ni mti huku, so inawezekana hata imetokana na hicho. Lakini pia, hata kama ni kuwaenzi wakikuyu shida itakuwa ni ipi? Mwalimu alisema, suluhisho la ukabila Kenya ni kuungana na Tanzania tu.
 
Naweza kukubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa. Siyo kazi rahisi,miji inaweza kukua lakin lazima iwe na Business Potentials. Nimewahi kuishi Dodoma,hauna mazao makubwa ya kilimo kama ilivyo Mbeya,haina Bandari,haina Ziwa. Ni land locked area.
Mfano mmoja ni Abuja na Lagos. Pamoja na Serikali kuhamia Abuja,bado Lagos iko juu mara 18 ya Abuja kwa kila kitu. Sema miji mikubwa mipya huwa imepangwa ikapangika,inavutia. Kwa hiyo Dodoma haitaweza kirahisi kuipita hata Mwanza,sisemi Dar es Salaam Nairobi au Mombasa! Siyo jambo rahisi,ingawa unaweza kupangika kisasa lakini hadhi ya kuizidi N'bi,M'mbasa au Dar bado kidogo. Kwa sababu unapotoa masterplan hizo za kisasa kwa Dodoma,tambua basi hata Dar wanatoa mpya,Mtwara,Mbeya,Mombasa,Kampala,Kisumu,Arusha,Nakuru,Morogoro nk.
Ila nadhani mji wa kiserikali si lazima uwe mkubwa kama wa kibiashara, mleta mada amemaanisha utakidhi haja ya kuwa mji mkuu wa nchi anayoifikiria itakuwepo, kila kitakiwacho kwa capital city Dodoma kitakuwepo.
 
Dodoma PSPF Bulding

IMG-20160118-WA0004_zpsbi5pb7zr.jpg

IMG-20160118-WA0005_zps8rhwsy5z.jpg

Kwani this PSPF builds all the tall buildings in Tanzania. Yaani nyinyi mko pale Kenya ilikuwa 70s na 80s, when government and its agencies built all skyscrapers.
Right now all tall buildings in Nairobi and other towns are being built and owned by private individuals. You have a long way to go.
 
What is your problem about Dodoma to be the Capital City of EA?
 
Broo you are suffering from grandiosity, Nairobi is not anything to campare with Tanzania first behave b4 yu vomit, Dar is growing fast than Nai how comes yu estimates that yo big cement consumers? That is possible if yu eat cement as ugali,secondly when talking abt Nai yu have to know that is nothing to do with Tanzania !!stop pushing vacuum brah workdone will be equal to zero despite wastage of time!!

FYI Tanzania Is the leading cement producer and consumer across the region of yu don't like it take blade and swallow

Tanzania the leading cement producer and consumer?
Please go for a check up somewhere.

Kenya consumes more than Tanzania and Uganda combined.
Tanzania is only on course to overtake Kenya in terms of production. That was estimated to happen 2017 or 2018. Na hii ni juu ya Dangote.

While Kenya has an under production of cement forcing us to import, you have a huge over-production.
Sisemi ni vibaya kuexport, but don't delude yourself that because you produce more you consume more.

The sheer number of construction projects in Kenya (private) is beyond comprehension of a Tanzanian.
 
What is your problem about Dodoma to be the Capital City of EA?

I have no problem.. even though I don't think it will ever happen.
But the guy who started the thread said it will be the biggest capital city in EA.
Ata kama ni kuwa patriotic, it's good to use your brain a bit.
 
Ni kweli, lakini hata tulipofikia si haba ukilinganisha na tulipoipokea hii nchi. Najua hatukustahili kuwa hapa lakini tulipofikia si pa kubezwa pia. Mengi yametufikisha hapa, lakini yaliyo makuu ni utu wetu na udugu wetu wa kiafrika.... Haya si ya kujilaumu nayo, binadamu aliyekamilika kiakili hawezi tafuta furaha yake binafsi bali ya wote wanaomzunguka.
Lakini mmekuwa hamsemekani kuwatrust watu kutoka haya mataifa mengine ya EAC. Mnasema sisi wakenya ni corrupt, wakabila, greedy ati tutakuja kunyakua ardhi yenyu. Pia hamuataki watu kutoka Ug, Burundi na hata Rwanda ati juu watawalimbikizia matatizo yao!
 
Tanzania the leading cement producer and consumer?
Please go for a check up somewhere.

Kenya consumes more than Tanzania and Uganda combined.
Tanzania is only on course to overtake Kenya in terms of production. That was estimated to happen 2017 or 2018. Na hii ni juu ya Dangote.

While Kenya has an under production of cement forcing us to import, you have a huge over-production.
Sisemi ni vibaya kuexport, but don't delude yourself that because you produce more you consume more.

The sheer number of construction projects in Kenya (private) is beyond comprehension of a Tanzanian.
Nionyeshe document (valid)kwamba Nairobi inatumia cement nyingi kuliko Dar tu kwanza ndio tuendelee,kuhusu production ya cement tuko mbele Ilo halina ubishi...usijidanganye kabisa Nairobi kwamba ndio sijui kitu gani huo ni mgando wa mawazo
 
Back
Top Bottom