Dodoma: Tundu Lissu afuata gari lake lililoshambuliwa ofisini kwa RPC Muroto. Ashangaa hadi sasa hajahojiwa yeye na Dereva wake

Huyu jamaa bwana it is as if hafahamu taratibu za kuchukua evidence Toka mikono ya polisi ??

Mihemko imekua mingi kupitiliza.
 
Niwape pongezi serikali yangu kwa weledi wanaoonyesha
Kesi ya Tundu itaunguruma muda sio mrefu kwa kadri ya taratibu za kisheria, na hapo ndio atapata haki yake na dunia kujua ukweli wa kila kitu.
Je, kesi itakuwa ikiunguruma wakati nani ni mshitakiwa/ washitakiwa?
 
Ati anashangaaa!!!.. kibaraka akumbuke ana kesi.. huyu ni hatari sana.. hata mwili wake.. hakukumbuka ya gari.. hadi kamaliza kukamilisha ubaraka wake aliotumwa na mabeberu.. hafai kuwa kiongozi wa nchi hii hata kwa sekunde moja.. tukisema ilikuwa mipango yao wenyewe.. bado munapiga kelele. Ati nini!!!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Magufuli 2020 πŸ’―
 
Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana

..afande Sirro alisema wapelelezi wake wanamtafuta TL lakini hawajampata.

..sasa leo TL kaenda mpaka kituoni kilichowashinda kumkamata na kumhoji ni nini?
 
Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana

Personal attacks zinapunguza kura za CCM na kuongeza za CHADEMA.

Avoid personal attacks.

Halafu ujifunze kuandika basi.

Sentensi ndefu sana haina mkato wala nukta
 
Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana
Ukifuatilia baba au mama yako yupo mahututi na bado huwaoni kuwa wagonjwa.
 
Ninavyojua hao wataalam, afadhali aliache tu, najua limeishafanyiwa vandalism ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…