Dodoma: Tundu Lissu afuata gari lake lililoshambuliwa ofisini kwa RPC Muroto. Ashangaa hadi sasa hajahojiwa yeye na Dereva wake

Sometimes jaribu kufikiri kwa kutumia kichwa sio kisigino
 
Yaani jamaa kawatega sn. Amewapa kz ngumu sn
 
Hii kesi ina moto!! Robert katishia kuwaomba UN waje kupeleleza pamoja na mambo mengine ya waliopotea na wengine kutekwa.

Kinachosubiriwa ni trigger tu ili mambo yaanze rasmi.

Hii si habari nzuri!!
Yaani ni hatari tupu
 
Hii kesi ina moto!! Robert katishia kuwaomba UN waje kupeleleza pamoja na mambo mengine ya waliopotea na wengine kutekwa.

Kinachosubiriwa ni trigger tu ili mambo yaanze rasmi.

Hii si habari nzuri!!
Robert ni kiuchafu tu mbele ya tz yangu!

Mnamtetemekea nyie bavicha maana ndio kabeberu kenu hako
 
Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana
si ndiowamuhoji ili awathibitishie kimandishi mbele yao kuwa wao ndio waliompiga risasi?.
 
Anashangaa nn wakat inabid awashangae chadema wenzake waliompiga
 
Hehehhe aisee Lissu anawatesa sana watawala wa nchi hii
Mbina yeye ndio anajitesa?

Umeona kuna mtu anahangaika na Lisu?
.
Yeye ndio tangu afike anahangaika kama kuku anataka kutaga, mara hapa mara pale mara aseme hivi.
Lakini watu na nchi yao wanamuangalia tu na wamemwacha ajihangaikie atachoka tu
 
Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana
Wewe jamaa ni kichwa maji sana,sasa unakubaliana kama hao ndiyo walishambulia na wapo wanakula mema ktk nchi inayozingatia utawala wa sheria.

USIWE ZUZU..
 
DEREVA WA LISSU SI MMOJAWAPO WA WALIORUDI NCHINI PAMOJA NAE LISSU, KULIKONI?

Sent from my SM-N920P using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…