DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Kwa hili hata mfanye matambiko kiasi gani hamjinasui abadani
 
There is no any reason on earth which can justify taking human life,or an attempt of doing so.Those who did this must be searched and brought to justice.
My God heal you soon,Amen.
 
Mnafiki mkubwa we, si ajabu wewe ndiye uliyefyatua risasi hizo. wewe ndiye muuaji wake,
 
Demokrasia ndiyo iliyomfanya Tundu Lisu kuwa mwanachama wa Chadema, kuchaguliwa na wananchi wa Singida Mashariki kuwa Mbunge wao, na kuchaguliwa na Wanasheria nchini kuwa Rais wao. Matendo na tabia za TL zinavaa uhusika wake wa ama mwanasiasa au mwanasheria nchini ya mwamvuli mpana wa Demokrasia. Kumpiga risasi ni sawa na kuipiga risasi demokrasia na sheria nchini, hivyo ni wanademokrasia na wanasheria wachache sana duniani watakiunga mkono kitendo hiki cha kumpiga rasisi TL bila kujali ni nani alihusika. Ndiyo maana hata Rais Magufuli amekilaani kitendo hiki na kuagiza wahusika watafutwe haraka. Kama Rais na mwenyekiti wa CCM amekilaani kitendo hiki sembuse wafuasi wake TL na wapenda demekrasia na utawala wa sheria duniani? Hili ni DOA kali kwetu kama nchi.

TL sio mfanyabiashara kusema kuwa amedhulumiana na wafanyabiashara wenzake, hutajasikia kuwa anatembea na wake za watu, na wala hatujasikia kuwa ni mwizi wa kitu chochote, ila dunia inamfahamu na kumsikia wakati wa kufanya siasa na sheria tu basi chini ya mwamvuli wa demokrasia ya vyama vingi.
 
Sina maneno mengi ila napenda kutafakurisha kidogo, hili shambulio lina kila dalili za kisiasa. Limepangwa na upo uwezekano waliofanya shambulizi ni watu walioletwa kutoka nchi za jirani, zenye uzoefu wa kufanya matukio km haya..!

Kwa namna lilifanyika ni wazi kuwa limefanywa na watu wasio na uzoefu mkubwa na mazingira ya Tanzania kama nchi na wannchi wa Tanzania.

Kufyatua risasi nyingi hivi ni ishara ya uoga na kutoamini sehemu wanapofanyiwa tukio kwa maana walikuwa ni waoga na hawakujua vyema nature na hali ya hewa ya wananchi wa Tanzania.

Narudia tena, washambulizi wa Lissu watakuwa wamekuwa imported kutoka nje. Usiniulize nani kawaleta hilo jambo lingine ambalo linaweza kufanyiwa utafiti wake.
 
Tangu Agusti 6 jamaa walikuwa wanajua siku inayofuata ndo wakaandika ile barua ya pole
 
Reactions: SDG
Kushambulia risasi nyingi sio ushamba. Ndiyo kazi ya machine gun, unabonya inafire automatic kwa haraka. Watakua walimimina nyingi kuhakikisha hawamuachi mzima. Hilo halitoshi kusema ni watu toka nchi jirani.
 
nchi hii imefika hatua mbaya. je aliyemtishia nape hadharani mchana peupe. maagizo ya Mh Mwigulu yalitekelezwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…