DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mchawi sio lazma awe analoga,lumumba wote wachawi roho hizo pole mkampe mwenyekiti wenu kwa kulialia jana kma vile yeye anauchungu sana,wakti nae walewale yani ukoo wa ndama mtoto wa kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Lissu pamoja na wingi wa vyeo vyake ameweza kushambuliwa mchana kweupe na watu wasiojulikana na kutokomea kusikojulikana ni vipi raia wa kawaida?
 
Dreva wake alimwambia Lissu kuwa kulikuwa na gari linawafuata nyuma; kwamba asishuke kwenye gari mara baada ya kufika Nyumbani. Muda huo gari lililokuwa likiwafuata likaanza kumimina risasi zilizomjeruhi vibaya Lissu. Dreva hakujeruhiwa! Hapa kuna clue ya intel. Dreva ahojiwe!
 
Hilo lilitarajiwa. They are always negative
 
Sio mambo yetu kwa awamu zilizopita, kwa sasa haya ni mambo yetu kabisa

*kutekana
*kutolea watu bastola mbele ya hadhara
*na sasa imefiki kushambulia kabisa
*ngoja tusubiri watalipua wapi baada ya ofisi za mawakili

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…