DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mimi nilipewa Taarifa na mkuuu wangu wa Kazi muda huo huo nikaugua ghafla wakanipeleka hospital kuongezewa Maji ninavyoandika muda huu ndo nmetoka hospital baada ya kusikia Anaendelea vizur...
 
Mi sikushituka sana kwani nilishahisi siku nyingi hali kama hiyo inaweza tokea,

nilichoshangaa saa mbili usiku wakati watu wanakimbilia kutazama taarifa ya habari ITV,
jamaa walikuwa kimya kama maji mtungini na habari ya lisu ilipoisha wakatawanyika kimya kimya tofauti na siku zote,

hilo ndo likaniacha najiuliza maswali mengi sana,
watu walikuwa wameogopa vibaya
 
~~~>>>Najarbu kutafakari, Inawezekana muuaji ni kati ya memba wa JF.... Anapita naye anayecomment kuonyesha kusikitika.
Sidhani kama ana nguvu hiyo maana haamini kilichotokea, labda baada ya siku tatu!
 
Wanataka kummaliza mwanaume asiongee upuuzi
 
Kungekuwa na pesa za kutosha tungempeleka kamanda marekani au uingereza....tena sehemu yenye usiri mkubwa kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…