DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Tanzania ina intelijensia kali sana kumbe ni intelijensia ya kudukua mawasiliano ya @maxwatu.Hivi kama kampuni kubwa kama Tigo inauza data za watumiaji je nyie Jamii forum tutawaamini kweli??????????????
Hii mtandao ya simu ni kuwa nayo makini
Jf nayo ni kua nayo kimkakati sana
 
Hii mtandao ya simu ni kuwa nayo makini
Jf nayo ni kua nayo kimkakati sana
Secret Agents for Internet Surveillances are always here in this platform of Jf, they're hunting their targets. They are considering this platform as an Open Source Intelligence (OSINT) platform.
 
Watesi wake leo hawapo,wamesahaulika,wamepita kama upepo
Wameshaanikwa huko Tigo ndio wanajua ukweli.

Ben Saanane pia alilalamika Vodacom inafahamu mtu aliyekuwa anamtishia aliweka namba hiyo humu ila kwakuwa hata Nape aliposema ana makampuni 5 ya simu maana yake haya makampuni ni vibaraka kwa serikali kwenye kutoa taarifa binafsi za mteja bila idhini ya mahakama kama inavyotakiwa kisheria.
 
Dah imenikumbusha kitambo sana
 
Hadi saizi hakuna aliyekamatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…