DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Tena ukitaka uwe na raha uwe ccm utafurahia lakin ukiwa upinzani utawindwa kama nin,,kwanini wasifute vyama vya upinzania wakabaki wao,,kuliko kua na vyama upinzani kinafiki huku hawataki kuambiwa wala kukosolewa
 
Mbunge wa Rombo ndugu Joseph Selasini amesema kuwa hali ya mbunge mwenzake Tundu Lissu inaendelea vizuri baada ya kupigwa risasi mguuni, mkononi na tumboni. Daktari amethibitisha.

Lissu ameshambuliwa kwa risasi mapema leo na watu wasiojulikana.

Naomba sana hili ndio liwe tamko litakaloendelea na hatimae kusikia ametoka hospitali salama saliminii

Mungu akulinde Mh.Lissu
 
Unafikiri na mimi ninakuelewa?

Kama huelewi achana nami sasa. Unanifuata fuata kwa ajli ya nini? Mimi sijakusemesha wala kuku kwoti, ila naona tu unarukia bila mwanzo na wala bila muunganiko na mada ili mradi unaropoka!. Nini?

Kumbe wewe unaingia kuropoka bila hata kujua nini kinaongelewa halafu unataka tukupe attention?

Chapa mwendo tu kwa kuwa mimi sina shauri na wewe.
 
Lissu wakati huu Tanzania inakuhitaji kuliko wakati mwingine wote
Nakuombea Mungu akuponye katika hili.
 
Kwanza lissu hana shida na madaraka ya mtu,yani unahangaika kumuua MTU anayekupa options za kuongoza na namna nzr za kuweka sawa mikataba na sheria!!!??hii ni ajabu.

Mungu saidia lisuu kabisa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…