DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Msitufanye watoto wadogo au ndio tumeingia mjini Leo kutoka kolomije

Kwa hiyo hawa wauaji sijui watu wasiojulikana kwenye awamu zote hawakuwepo ndio wameibuka awamu hii

Basi ndio jeshi jipya la Rwanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Rais wa urusi kuendelea kufanya kazi yake kwa umakini huku akiwazidi kete wamagaribi ,,, wamagaribi walianza Ku demonize Mr.Putin ili kuonekana ni Muuaji wa Wapinzani wake ...Wanasiasa Mashuhuri kama Akina BORIS NEMTSOV walipigwa Risas mchana kweupeeeeee Kama Political Sacrifice ili tu Putin aonekane nimuuaji wa wapinzani wake .

RAIS MAGUFULI ,,NI MCHAMUNGU ,,RAIS MAGUFULI NIRAIS ANAYEPENDA HAKI ,, NINA KATAAA KATA KATA ,,NADAIMA HILI TUKIO SIWEZI KULIUSIANISHA NA SERIKALI YANGU ... HII SERIKALI INAJIELEWA SANA NABADO TANZANIA HAIJAFIKIA HII HATUA .

NACHOAMIN WAMAGARIBI HAWANA RAFIKI ,, WAKO API AKINA SABHIMBI ????? KIBARAKA ALOTUMIWA NAWAMAGARIBI LKN NDIO HAO HAO WAKAMUUA ?????? .

HII NI NJIA YA WAMAGARIBU KUTAKA KUPATA SABABU ZA KUMDEMONIZE RAIS MAGUFUL NAMWISHO WASIKU AONEKANE MBAYA.


POLE SANA TUNDU LISU , POLE SANA MKE WAKO WATOTO NAFAMILIA NZIMA.
POLENI SANA WATANZANIA WOTE.
 
Kumbuka Lisu ni binadamu kama wewe, kumbuka ana haki ya kuishi kama wewe. Kumbuka leo kwake kesho kwako, hatutaishi milele.
Ee Mungu nakuomba ikiwezekana nichukue Mimi T.l abaki maana yeye anaitajika sana ktk Tz ya Leo. Amen
 
Aaamen Mungu ni mwema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu hajawahi kushindwa. Ni imani yangu atamponya kiumbe huyu na umauti. Amina.
 
unatumia nguvu nyingi sana kum defend shetani,
soma sana bible shetani hana rafiki,
siku akikugeuka ukawa mbuzi wa kafara usije kulia hapa kutafuta huruma,
hakuna marefu yasiyo na ncha,remember that.
 
Pole sana Mheshimiwa Tundu Lisu. Mungu aliyekupa Uhai akuponye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…