Dodoma vs Thika

Dodoma vs Thika

Hizo foreskin zimeshachafua juice tayari bora tu ninywe azam yangu ya baridi

Heheee... You really need to remove the foreskin in your brain. Nowonder the whole Nation is just asleep.... Hata Giza inaweza kuongoza hilo taifa lenu
 
wanafikiri grapes haipo Kenya

LELESHWA WINES
IMG_6417.jpg

IMG_6418.jpg

Leleshwa-Wines-Labels.jpg
 
Heheee... You really need to remove the foreskin in your brajn. Nowonder the hile Nation is just asleep.... Hata Giza inaweza kuongoza hilo taifa lenu
Unahara sana unahitaji antibiotic na maji upone
 
Achana na Wikipedia kijana...
Dar, mwanza, Arusha,Mbeya,Tanga, Morogoro, Dodoma, Moshi nk. .....tuulize sisi tunaoifahamu iyo miji vizuri Wikipedia kitu gani
Mkuu Moshi ipo mwishoni huko, mji hauna watu huo
 
Unahara sana unahitaji antibiotic na maji upone

Heheee... I love this... You didn't expect a Kenyan town that we hardly think of to trounce your Capital, now you resort to idiocy and non gallant arguments.Keep burying your head in the sand......
head-in-sand.jpg
 
Hivi huu ubushi wa miji huwa unasaidia nini?
Anyway JF inafanya Kiswahili cha Wakenya kinakua.
 
Huwa inasaidia kuitangaza na kuifahamu hii Miji na maendeleo yake na fursa zilizopo..
Kwa mfano, hizo juices murua na wines za Thika na Dodoma huenda hata wewe hukuzijua, but now tumejua kuwa Dodoma and thika lands can grow grapes
Watu wengi hawajasafiri, binafsi Mimi nimeijua miji mingi ya Kenya kupitia hili jukwaa,
Na pia wachangiaji wa nyuzi hizi tunaburudika kwa challenges na vijembe murua. Na wakenya wanafahamu kiswahili kama ulivyosema.
We will keep comparing everything, I mean each and everything , !
 
Great.
 
[emoji817]
 
Zika imeliwa na dodoma kavu tena
 
292fb2f49cee3ca7e2602a64bf9087d6.jpg

st Peter clever high school dodoma
 
Back
Top Bottom