Dodoma: Wabunge wanena kuhusu zuio la Marekani kwa Makonda

BASHITE MWENYEWE GENDER YAKE HAI ELEWEKI
 
Hapa suala lililo kubwa ni kujua uonevu gani wa haki za binadamu amefanya Mh. Makonda. Bila hilo kuwekwa wazi na Marekani, mijadala yetu itakuwa ya bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm wanakawaida ya kupindisha mambo kuyatafsiri mambo kinyume
 
RC hoyee yaani kajulikana na marekani huku Samata akijulikana UK .Tanzania tuko juuuu
 
Nchi nyingi za kiafrika zinapiga vita ushoga na watu wao hawajazuiliwa kuingia Marekani.

Makonda kinachomsibu ni tuhuma dhidi ya kudhulumu watu uhai na utekaji. Huo ndio ukweli, hayo mengine ni taarifa za redio mbao tu toka kwa vikaragosi vyake.
 
mwacheni mpigania maendeleo na tumuunge mkono amedhibiti ushoga na utumiaji madawa kwa sasa nchi yetu inaenda kuwa salama hasa kwa kizazi kilichokuwa kinaenda kuwa useless, hao watu wa mataifa ya magharibi ni lini wakatutakie maendeleo na amani yetu, kilasiku wanahitaji kututawala na kutunyonya mali zetu tu. USIFE MOYO KIJANA makondo endelea hivyohivyo na Mungu yu pamoja nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…