Dodoma: Wabunge wanena kuhusu zuio la Marekani kwa Makonda

Dodoma: Wabunge wanena kuhusu zuio la Marekani kwa Makonda

Daa kweli! si aliwekewa vikwazo na vyombo vya habari? mbona tena haya?

Ningekuwa mimi Makonda ningejidai sana, tena sasa ndiyo ningekwenda ki Mafia kupitia mpaka wa Mexico, si hawanijui na sijawahi kuota kwenda? hata wakinikamata watanifanya nini?

LKN Mbona wanamuogopa Jiwe sana?
 
Wangejadili ni kwa nini kazuiwa, na kama tuhuma wanazomtuhumu nazo zina ukweli au ameonewa tu?.

Ikiwezekana hao Wazuiaji waambiwe watoe ushahidi wa tuhuma zao, ili wakishindwa nyuso ziwashuke.
 
Back
Top Bottom