LGE2024 Dodoma: Wananchi zaidi ya milioni 1.7 wanatarajiwa kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

LGE2024 Dodoma: Wananchi zaidi ya milioni 1.7 wanatarajiwa kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Ikiwa kesho novemba 27 ni siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika jumla ya Wagombea elfu nne mia nne na nne wa vyama vyote vya siasa Mkoa wa Dodoma wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali huku watu zaidi ya milioni moja na laki saba elfu kumi na mbili mia nne sabini na mbili wakitarajiwa kujitokeza kupiga kura.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary ameyabainisha hayo Leo wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema angezeko la idadi kubwa ya wanawake kugombea nafasi mbalimbali katika mkoa huo tofauti na ilivyo kuwa kwenye chaguzi zilizopita inaonyesha muamko wa usawa wa kijinsia mkoani humo.

Soma pia: CHADEMA yajipanga kuzuia watoto kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wabaini madudu haya

Hata hivyo Senyamule amesema wananchi wote watakao kuwa kwenye mstali wa kupiga kura kabla muda wa kufungwa kwa vituo wataruhusiwa kupiga kura ambapo pia wamesema utaratibu maalumu kwa watu wenye mahitaji maalum.
 
Na wote hao hawachagui CCM labda kama wote wanaishi Mirembe
 
Back
Top Bottom