Unajaribu kusema nini? Mimi nimepinga ule msemo wa ku conclude kuwa ''kama mlango ulikuwa umefungwa basi mhusika ni kati ya hao wawili.'' Nikajaribu kupanua scenario zinazoweza kuwa zilikuwepo kwa kuuliza maswali. Sikufanya conclusion yoyote kwani bila kufanya uchunguzi huwezi kuwa certain! Unajachojaribu kubisha hapa ni nini?