ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kweni mkuu si ishu ya kipaumbele tu Kwan huoni wanajenga vitega uchumi na mamiradi makubwaSerikali gani hiyo🤔 hii serikali ya ccm ambayo kwa 60+ bado matundu ya vyoo mashuleni na madawati ni kitendawili ambacho jibu lake linatafutwa 🤔
Maji si yanaletwa na ma bowser toka bahari hindiHapo Dodoma palivyo pakame hivyo, hayo maji sijui mtatoa wapi? Labda mtengeneze bwawa la maji chumvi
Mbona Bwawa la Mtera halijawahi kukauka😀😀Kwa jua na ukame wa dodoma litakauka na litajaa vumbi
KabisaWazo zuri lakini ujengwe na sekta binafsi, siyo serikali
Bwawa la Mtera,Hombolo,Bahi,Dabalo,Nondwa,Farkwa n.kHapo Dodoma palivyo pakame hivyo, hayo maji sijui mtatoa wapi? Labda mtengeneze bwawa la maji chumvi
Dodoma maji watapata wapi? ujue kuna shida kubwa ya maji kwa ajili ya matumizi ya binadamu tuKuna huu Ufukwe mkubwa zaidi barani Afrika wa 'Man-made unaitwa Munyaka Estate crystal lagoon umefunguliwa Johannesburg, ni mkubwa mara 7 ya uwanja wa mpira na ni ufukwe wa 3 wa Afrika Kusini uliotengenezwa na binadamu.
Nina wazo tu serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi waunde huo mradi ili kuongeza ajira na uwekezaji hapo Dodoma..inawezekana kabisa maendeleo hayo.
View attachment 3040826View attachment 3040827