ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna huu Ufukwe mkubwa zaidi barani Afrika wa 'Man-made unaitwa Munyaka Estate crystal lagoon umefunguliwa Johannesburg, ni mkubwa mara 7 ya uwanja wa mpira na ni ufukwe wa 3 wa Afrika Kusini uliotengenezwa na binadamu.
Nina wazo tu serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi waunde huo mradi ili kuongeza ajira na uwekezaji hapo Dodoma..inawezekana kabisa maendeleo hayo.
Nina wazo tu serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi waunde huo mradi ili kuongeza ajira na uwekezaji hapo Dodoma..inawezekana kabisa maendeleo hayo.