Mwaka huu tutarajie kuna wengine wengi wako kwenye rada."wakishatumaliza Sisi watakuja na kwenu pia"....lissu aliongea Maneno haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu tutarajie kuna wengine wengi wako kwenye rada."wakishatumaliza Sisi watakuja na kwenu pia"....lissu aliongea Maneno haya
Nipo njiani elekea kwa wahadzabe chukua mishale ya sum , bora tufe wote kuliko kufa peke yangu, safari hii ukijisogeza kwenye kumi 18 zangu ni nchale tu, mbwai mbwai , wakuu nchale ndo dawa yao hawa watekajiMwaka huu tutarajie kuna wengine wengi wako kwenye rada.
Hapa Pole Pole alipitia changamotoHabari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
=====
WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NYUMBANI KWA MBUNGE HUMPHREY POLEPOLE,
Watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwa mbunge Humphrey Polepole (Dodoma) wakati akiwa safarini, na hii ndio hali ya nyumbani kwake palivyo kwa sasa kama video inavyoonesha
Mbunge Polepole amethibitisha kuwa nyumbani kwake jijini Dodoma, pamevunjwa na watu wasiojulikana na kuibiwa Television pamoja na kuharibiwa vitu mbalimbali siku ya Desemba 12, 2021 akiwa safarini Manyara ambapo amerejea usiku huu na kukuta hali hiyo
"Hali nilivyoikuta nyumbani kwangu Dodoma muda huu, Nakwenda kuripoti Polisi. Yeyote aliyefanya haya Mungu atanilipia" amesema Humphrey Polepole.
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana
~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia
- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana