Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Hivi kwanini Kamanda wetu JPM hakutumia hicho chuma kumfumua makalio huyo delila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini Kamanda wetu JPM hakutumia hicho chuma kumfumua makalio huyo delila
PM Majaliwa chini ya Mama ana Amani kama zote saizi yuko tayari kufa kwa ajili ya kumpigania Rais Samia,safi Sana..Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Tozo hazitakaa ziondolewe kama wanaiba alafu wanajenga mahitaji ya Tzn bora waibe ila kama wanajenga nyumba zao tutaziondoa.Tutawaambia TOZOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO NI WIZI
sounds nasty!Tozo hazitakaa ziondolewe kama wanaiba alafu wanajenga mahitaji ya Tzn bora waibe ila kama wanajenga nyumba zao tutaziondoa.
Mpango hiyu huyu? Katiba hairuhusu kwanza hata ikitokea sintofahamu kwa mama.Nampenda mama lakini inaonekana ccm bado hawajajifunza kitu kwa kifo cha mwendakuzimu.
Mungu ndiye anayejuwa kesho yetu, huenda yeye Majaliwa asifike 2025 au tukafika 2025 Rais akiwa ni Dr Mpango.
Waache hizi kufuru kwa sababu ya kiburi cha uzima.
Hivyo hivyo nasty lakini hakuna tozo inaondoka ,take thissounds nasty!
Huyu mwenzanko alijuwa atatawala milele, wala hakujuwa kama kuna kifo.Mpango hiyu huyu? Katiba hairuhusu kwanza hata ikitokea sintofahamu kwa mama.
Afu we shetani ukome na uchuro wako.
Ushetani na mtahukumiwa kwa haki na Mungu! Mnavaa maushungi kumbe mashetani wa kike! Enjoy your ushetani. Kwaheri!Hivyo hivyo nasty lakini hakuna tozo inaondoka ,take this
Hii statement ya waziri mkuu ni kwa ajili ya kuwatisha wanaotarajiwa kumletea mama upinzani ndani ya chama . Hajiamini inaonekana wala hajui anachofanya bila shaka.Kutatokea upinzani ndani kwa ndani ambao ni hatari Kwa mama kuliko wa vyama pinzani....naona giza mbele ila Mungu atatuvusha salama. ....
Labda wapinzani wa huko chamani kwake.Wameanza kunyang'anyana nguzo hata kiwanja hawajapata, kauli hii inapelekwa kwa wapinzani kuwa Samia ndiye Rais awamu ya sita.
Watafurahishwa wamewekwa sasa wanataka kukaaa... Nacheka mie... Watu watakapo liaWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Wanadanganyana kwamba eti kwa kuwa Rais anatokea Zanzibar wanadhani kwamba sio sawa kuwa Rais wa Muungano wanasahau wakifanya hivyo aisee watawasha moto kwa wazanzibarAwaambie kwani hawaoni wenyewe!?
Kwa hiyo unajifanya huelewi kuwa Zanzibar ni koloni la Tanganyika!? Nyie wazanzibar mna nini cha kuifanya Tanganyika!? Si mtachapwa tu kama ilivyozoeleka.Wanadanganyana kwamba eti kwa kuwa Rais anatokea Zanzibar wanadhani kwamba sio sawa kuwa Rais wa Muungano wanasahau wakifanya hivyo aisee watawasha moto kwa wazanzibar
Umekasirika? Unadhani ataenda wapi na zile roho za aliowapoteza.CCM utafikili Wana ahadi na MUNGU ,anajuaje Kama 2025 atakuwepo?
Mafanikio huwa yanatangazwa kwa wananchi katika Dunia ya sasa!
Mnafikili bado tupo Zama za mawe?
Huyu Majaliwa amesha jua ana pwaya na Mh. Mama, amesha jua jamaa ana kundi linalo mpinga. Hivyo kujiosha kaja na style kungata kwa panya.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...