Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awaambia Mawaziri kuwa CCM itakwenda na mtu mmoja pekee ambaye ni Samia Suluhu Hassan

Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awaambia Mawaziri kuwa CCM itakwenda na mtu mmoja pekee ambaye ni Samia Suluhu Hassan

Mheshimiwa waziri mkuu asisahau kuwa kubaki hapo Bi Mkubwa kavunga tu kutokana na nafasi yake angeitengua baraza lingeundwa upya, ila 2025 hatorudi kamwe, huyo Bi mkubwa ana plans zake
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
PM Majaliwa chini ya Mama ana Amani kama zote saizi yuko tayari kufa kwa ajili ya kumpigania Rais Samia,safi Sana..

2973195_FB_IMG_16332143456548674.jpg
 
Nampenda mama lakini inaonekana ccm bado hawajajifunza kitu kwa kifo cha mwendakuzimu.

Mungu ndiye anayejuwa kesho yetu, huenda yeye Majaliwa asifike 2025 au tukafika 2025 Rais akiwa ni Dr Mpango.

Waache hizi kufuru kwa sababu ya kiburi cha uzima.
Mpango hiyu huyu? Katiba hairuhusu kwanza hata ikitokea sintofahamu kwa mama.

Afu we shetani ukome na uchuro wako.
 
Wazee wa kulinda legacy wanazidi kukasirika wanaomba itokee revenge ya kile kilichotokea 17, March 😂😂😂
 
Kutatokea upinzani ndani kwa ndani ambao ni hatari Kwa mama kuliko wa vyama pinzani....naona giza mbele ila Mungu atatuvusha salama. ....
Hii statement ya waziri mkuu ni kwa ajili ya kuwatisha wanaotarajiwa kumletea mama upinzani ndani ya chama . Hajiamini inaonekana wala hajui anachofanya bila shaka.
 
Hata Magufuli mlitaka atawale milele. Badala ya kujenga nchi.Mpo madarakani still mnawaza uchaguzi 2025.Idiots.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Watafurahishwa wamewekwa sasa wanataka kukaaa... Nacheka mie... Watu watakapo lia
 
Awaambie kwani hawaoni wenyewe!?
Wanadanganyana kwamba eti kwa kuwa Rais anatokea Zanzibar wanadhani kwamba sio sawa kuwa Rais wa Muungano wanasahau wakifanya hivyo aisee watawasha moto kwa wazanzibar
 
Wanadanganyana kwamba eti kwa kuwa Rais anatokea Zanzibar wanadhani kwamba sio sawa kuwa Rais wa Muungano wanasahau wakifanya hivyo aisee watawasha moto kwa wazanzibar
Kwa hiyo unajifanya huelewi kuwa Zanzibar ni koloni la Tanganyika!? Nyie wazanzibar mna nini cha kuifanya Tanganyika!? Si mtachapwa tu kama ilivyozoeleka.
 
CCM utafikili Wana ahadi na MUNGU ,anajuaje Kama 2025 atakuwepo?

Mafanikio huwa yanatangazwa kwa wananchi katika Dunia ya sasa!
Mnafikili bado tupo Zama za mawe?
Umekasirika? Unadhani ataenda wapi na zile roho za aliowapoteza.
 
Kwahiyo mnawaza Uchaguzi badala ya maendeleo ya watu.pumbavu sana
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Huyu Majaliwa amesha jua ana pwaya na Mh. Mama, amesha jua jamaa ana kundi linalo mpinga. Hivyo kujiosha kaja na style kungata kwa panya.

Ila Majaliwa mi Snitcher..
 
Back
Top Bottom