ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,299
- 832
Safi sanaWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sanaWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Hivi uwaziri mkuu hauna ukomo kisheria?Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
The sooner the better2025 bado mbali sana. Ukiweka na uviko 19 ndiyo kabisa mtu anaweza akaishia njiani
Duh uchawa tanzania ndo habar ya mjiniWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Sasa mtoeni mama tuone mtakavyotuchapaKwa hiyo unajifanya huelewi kuwa Zanzibar ni koloni la Tanganyika!? Nyie wazanzibar mna nini cha kuifanya Tanganyika!? Si mtachapwa tu kama ilivyozoeleka.
Hawa watu wanawaz madaraka tu na uchaguzi wakidhani watakuwa viongozi milele hebu tatua changamoto za watzWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Una mdomo mchafu sana.Aha kumbe ndo ulivolelewa? Unakaa na hasira na watu? Acha upumbavu hata ukimtukana mama yangu hata mama yako ni mwanamke pia! Unajidharirisha mwenyewe! Unahangaika na wafu maana hadi leo umawaza wafu! Nakuhakikishia wewe ni mtoto wa kuzimu mda utaongea! Pumbavu sana na kizazi chako kilaaniwe!
Sisi sisiemu bara au Tanganyika huu ndio msimamo wetu, kuwa mshenga Kesha sema hakuna mwowaji
Na mwendakuzimu mama ako pia.Namaanisha mwendakuzimu.
Halafu mimi huwa silali na deni, mpumbavu mamako kenge wewe.
Mbona ccm mnahaha kumpigia debe wakati vyama vingine vinafanya majukumu ya kichama,wao ccm wanafanya kampeni ya urais tukutane 2025.Kwani majaliwa anacheo gani huko Ccm?
Hii ni dalili ya hofu kwamba ndani ya chama kuna wasio mkubali maza
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Yaan ,wanafurahi kifo cha JPM utafikiri kwao hawajawahi kufa.Bibilia inasema na kufa mtakufa.Huyo ndugu yangu ,anafikiri kifo kipo kwa magufuri tu.Hivi wewe unaposema mwendakuzimu huwa unamaanisha nini? Acha upumbavu wako! Wewe ni mkamirifu? Umejaa utaahira bichwa lako!
Tanzanians have changed their minds, they won't believe come 2025 what gonna surface at the state throne.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Kifo cha JPM kina utata. Na katiba kuna waliojua mapungufu yake wakapitia hapo .Yaan ,wanafurahi kifo cha JPM utafikiri kwao hawajawahi kufa.Bibilia inasema na kufa mtakufa.Huyo ndugu yangu ,anafikiri kifo kipo kwa magufuri tu.Hata yeye atakufa.Na kila MTU atakufa.Nawashangaa baadhi ya watu ,kumudhihaki JPM kwa kuwa amekufa.Na wanafikiri wao hawatakufa.Wote tutakufa tu.