Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awaambia Mawaziri kuwa CCM itakwenda na mtu mmoja pekee ambaye ni Samia Suluhu Hassan

Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awaambia Mawaziri kuwa CCM itakwenda na mtu mmoja pekee ambaye ni Samia Suluhu Hassan

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Hivi uwaziri mkuu hauna ukomo kisheria?
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Duh uchawa tanzania ndo habar ya mjini
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Hawa watu wanawaz madaraka tu na uchaguzi wakidhani watakuwa viongozi milele hebu tatua changamoto za watz
 
Amechukua Mikoba Ya Mzilankende

2025 Hangaya Ndani Ya Chama Form Ni Moja
Haa Haa Wengine Wakileta Mdomo Wanapigwa
Surrat\Zubaa Kama Niguse Ninuke (Kick Out)
 
Aha kumbe ndo ulivolelewa? Unakaa na hasira na watu? Acha upumbavu hata ukimtukana mama yangu hata mama yako ni mwanamke pia! Unajidharirisha mwenyewe! Unahangaika na wafu maana hadi leo umawaza wafu! Nakuhakikishia wewe ni mtoto wa kuzimu mda utaongea! Pumbavu sana na kizazi chako kilaaniwe!
Una mdomo mchafu sana.
 
Mama Samia atatufaa...2025-2030. Tumuombee kwa Mwenyezi Mungu uzima, afya na uhai.
 
Leo hii lita 20 ya mafuta ya kupikia ni sh 100000/- lakini hakuna anaezungumza. Hawa jamaa bwana
 
Mungu ndo kila kitu. Yule mwendazake mlipanga mumuongezee muda haya kikowapi sasa, haya uyo Malkia wa Tozo ni suala la muda tu
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
 
Hivi wewe unaposema mwendakuzimu huwa unamaanisha nini? Acha upumbavu wako! Wewe ni mkamirifu? Umejaa utaahira bichwa lako!
Yaan ,wanafurahi kifo cha JPM utafikiri kwao hawajawahi kufa.Bibilia inasema na kufa mtakufa.Huyo ndugu yangu ,anafikiri kifo kipo kwa magufuri tu.

Hata yeye atakufa.Na kila MTU atakufa.Nawashangaa baadhi ya watu ,kumudhihaki JPM kwa kuwa amekufa.Na wanafikiri wao hawatakufa.Wote tutakufa tu.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Tanzanians have changed their minds, they won't believe come 2025 what gonna surface at the state throne.
 
Yaan ,wanafurahi kifo cha JPM utafikiri kwao hawajawahi kufa.Bibilia inasema na kufa mtakufa.Huyo ndugu yangu ,anafikiri kifo kipo kwa magufuri tu.Hata yeye atakufa.Na kila MTU atakufa.Nawashangaa baadhi ya watu ,kumudhihaki JPM kwa kuwa amekufa.Na wanafikiri wao hawatakufa.Wote tutakufa tu.
Kifo cha JPM kina utata. Na katiba kuna waliojua mapungufu yake wakapitia hapo .
 
Back
Top Bottom