Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

Ww ni msemaji wa tume? Sio vibaya pia Molemo akitolea ufafanuzi kama wamehakikishiwa kukuta ofisi ikiwa wazi.
Hii kitu nlijiuliza wamepangaje siku yenye utata... maana huwa ofis zimefungwa...
 
Akumbuke tu huo ndo mji ulioweka historia ya uhai wake, ikibidi atembelee eneo la tukio kutoa sadaka na aende hospitaliya mkoa kuwashukuru madaktari na manesi, zaidi ya yote awe MAKINI.
Hili lizingatiwe kwenye ratiba ya kesho.
 
Pia Lissu ni mtetezi wa ushoga.
 
Kama mlimsliliza rais alipokwenda kuchukua fomu. Alisema hakutaka watu wengi wamsindikize asije haribu taratibu. Ningeshauri hivi usiwepo mkusanyiko mkubwa NEC wakamgomea kuwa kakiuka taratibu.
Magu alitoka kwenye fomu akaenda kuanza kampeni na rushwa akatoa (rushwa ya hali) sasa CDM imeshika makali ichikue tahadhari
 
Huo ni ushauri mzito sana.
Inabidi cdm muwe na kamati maalum ya ushauri kwa TL.
Ieleweke anajiandaa kuingia kwenye taasisi kubwa hivyo ni lazima aelewe anachozungumza sio azungumze kila anachokielewa.
Tundu lopolopo nyingi sana
 


Mbona Kama umeandika sifa zote za Magufuli?au umejimix
 
Maneno matupu bila picha ni porojo tupu
 
Kila la heri ila msiingize JINAI kwenye hayo maandamano kama kuzuia shughuli za kawaida za watu wengine , kusababisha foleni zisizokuwa za lazima n.k. Kwa ushauri tu, si angekwenda na watu wachache NEC, achukue fomu na kisha arudi kwenye ofisi za CHADEMA na kuzungumza na wanachama wao. Huu ni ushauri tu ili kuepusha figisu figisu na vyombo vya dola. Nasema tena ni ushauri tu na kwa nia njema kwa mustakabali wa Umoja wa nchi yetu.
 
Kwa kuongezea suala la yy kushambuliwa isiwe ajenda kabisa tena ikibidi asiliongelee Hilo suala kbs
Sidhani kama ni sahihi Tundu Lisu kuacha kuongelea shambulizi dhidi yake. Huo ni mfano mzuri wa mahali tulipo leo, na yeye kuwahakikidha wapiga kura kuwa mambo ya hovyo kama hayo yaliyompata hayatatokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…